CCM ya Nape ni nadharia


Hii ndo JF, hapana shaka ID kongwe zimepungua. Ok, basi poa tu.
 

Kweli mda ndio jibu la kila kitu.
 
Umebadili ID na wewe mkuu!!
 
Sahizi wakisema andika kitu juu ya hujuma na utumiaji wa ukwasa wa baadhi ya watu na harakati zao za kisiasa utakimbia au utasema ilikuwa zamani.

Mkuu upo?
 
Huyu Mwamba amepita mule mule😆😆😆
 
Kitila kabla akili hazijakombwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…