CCM ya Matumaini

..hivi mataga wako wapi?

..mbona hawachangii hapa?
 
Wapinzani waache hila na ukorofi wa zama za Lema, kila siku kutaka maandamano. Wananchi wataka siasa safi inayoleta maendeleo. Siyo kupinga kila kitu.
Ona huyu Zwazwa, MATAGA mna shida sana nyie.
 
jiandae mama,ukipenda boga usitupe maua.

hayo ndio maua ya CCM yenu,yako sambamba kabisa na hivyo ndio viambatanishi vyake.
 
Hapana rushwa imekuwepo sana kipindi hhiki cha JPM tena sana na rushwa kubwa ambazo zilikuwepo ila hazikuongelewa lakini zilikuwepo rushwa kuanzia juu kabisa ya uongozi hadi chini ila hazikuzungumzwa
 
Hapana rushwa imekuwepo sana kipindi hhiki cha JPM tena sana na rushwa kubwa ambazo zilikuwepo ila hazikuongelewa lakini zilikuwepo rushwa kuanzia juu kabisa ya uongozi hadi chini ila hazikuzungumzwa
kama hazikuonekana wewe umezijuaje??

ulikuwa umezaliwa kipindi cha jk wa msoga au unasikia tu rushwa rushwa rushwa.unawaza elfu mbili mbili za traffic???
 
Magufuli alikuwa na mapenzi mema na nchi yake kwa kiasi kikubwa lakini tatizo lilikuwa jinsi alivyokuwa anatekaleza mambo yake kufikia hayo malengo mazuri.!!! He had no empathy!
Ukisema alikuwa na mapenzi mema na nchi yake nitakukatalia katakata kwasababu hakutaka uwazi katika matumizi ya fedha kitu ambacho kinamuondolea usafi na lipenda sana usiri kwenye matumizi ya fedha nadhan Asad analijua hilo vyema .

Pamoja na mema yake lakini hakuwa msafikama ambavyo mnatumia nguvu kuwaaminisha wasio elewa vyema mifumo yake.
 
hakuna cha katiba mpywa wala kaniki mpya,mwendo ni ule ule.

tena mama atawabinya kweli kweli maana mna kelele zisizo na malengo maalumu.
 
Yes naunga mkono hoja kwa asilimia 100% sasa ni muda wa kuweka maridhiano ili kuwa na mshikamano.
 
kama hazikuonekana wewe umezijuaje??

ulikuwa umezaliwa kipindi cha jk wa msoga au unasikia tu rushwa rushwa rushwa.unawaza elfu mbili mbili za traffic???
Nielewe nimesema hazikuongelewa sio hazikuonekana rudia kusoma na sababu za kuto kuongelewa kama wewe sio mnafiki unazijua vyema.
 
CCM NI ILE ILE

Oohhh ni ile ile ileeee!

TUME JIPANGA MWAKA HUU WATAISOMAAAA
 

Mbona huandiki wapinzani waache matusi na kebehi 2010-15. ukitaka kuelewana lazima watu wakubali changamoto. Ukidhani Mama ndo atasolve mambo ya kukosa ustaarabu na chuki unakosea. Akiwa mpole sana watanzania hawatawaliki. Mnaongea sasa kwa kuwa JPM katunyosha na kutuonyesha usanii wetu.
 
Nia AIbu kwa CCM KUOGOPA KATIBA MPYA na MIKUTANO ya Vyama vya Upinzani kwa kisingizio cha kujenga Uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…