britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,966
- 45,763
...mnafiki mkubwa wewe!Ninafarijika,
CCM imerudi kwenye Mikono salama,
Angalizo
Pamoja na CCM kukiuka baadhi ya Misingi 2015-2020 ila rushwa ya hadharani haikuwepo,
Nisingependa Kusikia
1.Wizi wa keki ya Taifa
2.Ubaguzi wa wengine
3.Tukubali Kukosolewa
4.Wapinzani ni ndugu zetu
5.Isimamie Serikali kuleta umoja
6.Isimamie serikali kuajiri
MAMA SAMIA TUNAKUSIHI SANA ULETE MSHIKAMANO
Britannica
Wenge...mnafiki mkubwa wewe!
Huyu anayetembezwa juani saa hiiz?Mkuu hayo uliyoyapa kipaumbele ndiyo Magufuli alikua akiyatenda
Kwani wewe lini?Huyo Spika sijui nini na yeye atasepa? ili Mama asipate usumbufu
Baada ya waliopita bila kupingwa na kufa bila kupingwa.Kwani wewe lini?
Mbona unaishupalia "Dua" yanguKwani wewe lini?
Jiombee uanze weweMbona unaishupalia "Dua" yangu
Mkuu hayo uliyoyapa kipaumbele ndiyo Magufuli alikua akiyatenda