This time around lazima aruke kichura chura,lakini haitamsaidia kitu.Kalikoroga mwenyewe.aise, magufur akiona hivyo anaumia sana!
.....Mkuu vijana wengi hawana ajira uchumi umeporomoka maisha magumu HUO MLIPUKO KIPINDI CHA KAMPENI USIOMBEHakika mkuu, yaani mikusanyiko imekatazwa kwa miaka mitano lkn bado wapinzani wa kweli bado wapo na chama chao na ndiyo wanazidi kukiamini na kukipenda zaidi.
Hilo lipo dhahiri sasa,ndiyo maana Jamaa wamepagawa.Wanashindwa kufahamu washike wapi,huku ACT Wazalendo na kule CDM,stress is spreading like wildfire amongst CCM legends.Yaani cdm inazidi kuimarika kila kukicha tena sasa ni vijijjni
Ingizo jipya kutoka Lumumba. Lepolepo analeta maingizo ya bei rahisirahisi naona mkwanja utakuwa umeisha now!M
Maweee mmeanza kujamba eeee?
Karibu hapa FARU DUME kile kitu Cha mh.MWENYEKITI....
Akili yao iliwatuma kuwa, wakinunua makapi yatakuwa yakifuatwa na wanachama! watapata tabu sana na ubaya ni kwamba watu wamehifadhi hasira vifuani, utakuwa mtifuano ambao hawakuutarajia!Historical Mistake Waliofanya Ccm Ni Kununua Makapi Na Kuacha Kununua Wapiga Kura
LIJUALIKALI alisema CDM si CHAMA Bali OPERA.....Chama kinajengwa kwa mapichapicha.Chadema mmekwama.
kwahiyo hao ndo wapiga kura wote wa tunduma?
Acha ujinga, usitumie rejea za wajinga!LIJUALIKALI alisema CDM si CHAMA Bali OPERA.....