CCM wazizimia kombati

Nimegundua tatizo ni Umri,Hamjui kuwa combat imevaliwa sana tangu enzi za TANU youth League hadi chipukizi Wa CCM,hata Mwalimu JK alivaa sana combat.Pamoja na hayo mna tatizo la kutojua historia,you do not know about the past.kalaga baho!
 
kama kombati ni za ccm kwanini mlikuwa hamzivai miaka yote hiyo na kwanini eti yule ******* alisema haya ni mavazi ya waasi, sasa kama ni mavazi ya waasi kwanini na nyie mnaiga
Ngoja pia nikufanyie marekebisho anaitwa Ndugayi,usidhalilishe hii mitandao ya kijamii kuwa majukwa ya wahuni hapa sio mahali pakashfa na mbwembwe kijana na starabika kamailivyo asili ya Mtanzania,naelekea kwenye mada mh.Ndugai alipinga mavazi kama ya Chadema kuvaliwa kwenye maeneo yanayowawakilisha watanzania wote na sio wachama fulani,tukirudi kwenye uanzilishi nimekupa kazi angalia jinsi makomandoo wa chama wanapokuwa kwenye harakati ndo huwa yana valiwa na haya yameanza kitambo kabla wakati chadema hajazaliwa na CCM..!!
 
Kama mchakato wa katiba mpya wali copy na kupaste kutoka kwenye ilani ya CHADEMA sembuse gwanda,they can not think beyond the box.
 
Nimegundua tatizo ni Umri,Hamjui kuwa combat imevaliwa sana tangu enzi za TANU youth League hadi chipukizi Wa CCM,hata Mwalimu JK alivaa sana combat.Pamoja na hayo mna tatizo la kutojua historia,you do not know about the past.kalaga baho!

Ngoja pia nikufanyie marekebisho anaitwa Ndugayi,usidhalilishe hii mitandao ya kijamii kuwa majukwa ya wahuni hapa sio mahali pakashfa na mbwembwe kijana na starabika kamailivyo asili ya Mtanzania,naelekea kwenye mada mh.Ndugai alipinga mavazi kama ya Chadema kuvaliwa kwenye maeneo yanayowawakilisha watanzania wote na sio wachama fulani,tukirudi kwenye uanzilishi nimekupa kazi angalia jinsi makomandoo wa chama wanapokuwa kwenye harakati ndo huwa yana valiwa na haya yameanza kitambo kabla wakati chadema hajazaliwa na CCM..!!

kwanini wakati chadema wanaanza kuvaa haya mavazi ccm walikuwa wanayasema hovyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom