CCM wawe waungwana

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,576
19,457
Tanzania ni nchi inayojulikana kuwa imekoamaa kisiasa, na hasa chama cha mapinduzi ambacho kimeongoza nchi hii tangu uhuru. Ni wakati wao kuonyesha kwa vitendo kuwa kweli kuna demokrasia nchini kwa kutovuruga uchaguzi. Wenzao Republican walivuliwa madaraka na Democrat wakakubali, lakini sasa karibu nao watawavua madaraka hayo democrat tena na maisha yanaendelea. Huko kwa mama Eliza nako, Conservative waliwavaua madaraka Labor na maisha yanaendelea kama kawaida; siyo lazima CCM iwe madarakani siku zote.
 
Back
Top Bottom