assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
mmmmh nadhan unamakengeza.ile sio nyomi .subir ya el
Kwa kusombwa na malori kama kokoto
mm sio mshabiki ila mkuu unatumia tu redio kupata habar? Km ni ivo kwako ni sawa
Kiukweli watu waliojitokeza katika mkutano wa CCM umevunja record nipashe wameita gharika ila mm naona ni elinino.
Hoja ya nyomi mikutanoni sasa sio hoja mafuriko yamejibiwa na mvua za elnino
Hahahaha ha ha hah ccm ni mikundu tyuu subirini ukawa ni obamaaaaaa vile nyomi itakua kubwa kutakua na ufufuo na uzima mtume muhamad atakuepo hap bilali akifufukaaaa
Kiukweli watu waliojitokeza katika mkutano wa CCM umevunja record nipashe wameita gharika ila mm naona ni elinino.
Hoja ya nyomi mikutanoni sasa sio hoja mafuriko yamejibiwa na mvua za elnino
Kumbuka na watu waliambiwa wakumbuke namba za malori waliyokuja nayo ili wasipate taabu wakati wakurudishwa. Sio wewe umetoka Mkuranga kisha ukapanda lori la kurudi Bagamoyo, itakula kwako.
View attachment 279743