fidel mgaya
Member
- Jan 3, 2013
- 11
- 9
Watoto someni acheni siasa
Watoto someni acheni siasa
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha mtakatifu Agustino cha Mwanza na nasoma shahada ya ualimu mwaka wa pili... Leo tarehe 5/04/2013 ndio tarehe tulitakiwa kufanya uchaguzi kwa maana ya wabunge, na pia Urais cha kusikitisha ni kwamba Majina yaliyopitishwa na Senate ya wagombea wawili ambao walipaswa kuchuana leo ambao ni KIMENYI DAMAS anaesoma Sheria mwaka wa pili na Donavani Mcheshi anaesoma shahada ya Mahusiano ya umma (PR) wamewekewa pingamizi na kijana aliewekwa na C.C.M kwa jina la PETER JOHN BEGER ikiwa ni mpango wa chama hicho kuhakikisha ya kwamba Marais wa vyuo vikuu vyote wanakua wanaCCM ili kuwapa ahueni ya matamko yanayokemea maovu yao.
Na pingamizi waliloweka kwanza kwamba tume ya uchaguzi imeundwa na CHADEMA.
2. Wagombea ni wa CHADEMA kwamba wataleta mgomo
3.kwamba Tume iundwe ambayo ni huru.
Mpango huo wakuwasimika maraisi wa C.C.M ulijulikana baada ya Mbunge Juma Nkamia kuzungumza na wanachama wa C.C.M tawi la SAUT mnamo tarehe 08/01/2013 na kweli tunaona kama wanafanikiwa ni hayo tu wapendwa ndugu wana Jamii....
Mie nashanga katika hoja yako, nina maswali kadhaa hapa
Kwanza,kwa mjibu wa sheria zenu hapo SAUTI bylaws na katiba ya serikali ya wanafunzi hapo SAUTI tume inaundwaje na muundo wake ukoje?
Pili, Nani anashughulikia hilo pingamizi au mapingamizi yanayo wekwa na watu kama hao
Tatu,Nani wenye haki ya kugombea kwani ukiwa chadema huruhusiwi kugombea nafasi yeyote na amethibitishaje kama wagombea ni chadema?
Nne, nini kinaunda tume pingamizi au katiba ya wanafunzi?
Nikipata majibu nitakuwa na la kusema hapo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
kwa mara ya kwanza naungana nawe, hawa watoto niwapumbavu kweli kweli. badala wakazane kusoma wamekazania siasa.Watoto someni acheni siasa
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha mtakatifu Agustino cha Mwanza na nasoma shahada ya ualimu mwaka wa pili... Leo tarehe 5/04/2013 ndio tarehe tulitakiwa kufanya uchaguzi kwa maana ya wabunge, na pia Urais cha kusikitisha ni kwamba Majina yaliyopitishwa na Senate ya wagombea wawili ambao walipaswa kuchuana leo ambao ni KIMENYI DAMAS anaesoma Sheria mwaka wa pili na Donavani Mcheshi anaesoma shahada ya Mahusiano ya umma (PR) wamewekewa pingamizi na kijana aliewekwa na C.C.M kwa jina la PETER JOHN BEGER ikiwa ni mpango wa chama hicho kuhakikisha ya kwamba Marais wa vyuo vikuu vyote wanakua wanaCCM ili kuwapa ahueni ya matamko yanayokemea maovu yao.
Na pingamizi waliloweka kwanza kwamba tume ya uchaguzi imeundwa na CHADEMA.
2. Wagombea ni wa CHADEMA kwamba wataleta mgomo
3.kwamba Tume iundwe ambayo ni huru.
Mpango huo wakuwasimika maraisi wa C.C.M ulijulikana baada ya Mbunge Juma Nkamia kuzungumza na wanachama wa C.C.M tawi la SAUT mnamo tarehe 08/01/2013 na kweli tunaona kama wanafanikiwa ni hayo tu wapendwa ndugu wana Jamii....
Wewe akili zako ni ndogo sana.kwa mara ya kwanza naungana nawe, hawa watoto niwapumbavu kweli kweli. badala wakazane kusoma wamekazania siasa.
vikivunja sheria za chuo na kufukuzwa vinakuja kulalamika humu. nyie watoto ndo kwanza mnatafuta elimu, hiyo ccm ilikuwape na chadema kama wewe ni mwaka wa pili degree si ajabu ulikuwa hujazaliwa pia, utavikuta tu. mnakimbilia wapi? achaneni na akina lema wanawapoteza hao. wao wanamaisha yao, wewe ukifukuzwa/UKIFELI leo ndo imekula kwako.YAZINGATIENI HAYA.
Pumbafu zako,kwann awe Lema na asiwe Mwigulu?kwa mara ya kwanza naungana nawe, hawa watoto niwapumbavu kweli kweli. badala wakazane kusoma wamekazania siasa.
vikivunja sheria za chuo na kufukuzwa vinakuja kulalamika humu. nyie watoto ndo kwanza mnatafuta elimu, hiyo ccm ilikuwape na chadema kama wewe ni mwaka wa pili degree si ajabu ulikuwa hujazaliwa pia, utavikuta tu. mnakimbilia wapi? achaneni na akina lema wanawapoteza hao. wao wanamaisha yao, wewe ukifukuzwa/UKIFELI leo ndo imekula kwako.YAZINGATIENI HAYA.
kwa mara ya kwanza naungana nawe, hawa watoto niwapumbavu kweli kweli. badala wakazane kusoma wamekazania siasa.
vikivunja sheria za chuo na kufukuzwa vinakuja kulalamika humu. nyie watoto ndo kwanza mnatafuta elimu, hiyo ccm ilikuwape na chadema kama wewe ni mwaka wa pili degree si ajabu ulikuwa hujazaliwa pia, utavikuta tu. MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI.
kweli wewe ni taahira na kama ni sehemu ya hao wanafunzi basi hicho chuo kinachukua special students, kwani hufai kuwa kwenye vyuo vya kawaida.Pumbafu zako,kwann awe Lema na asiwe Mwigulu?
kwa mara ya kwanza naungana nawe, hawa watoto niwapumbavu kweli kweli. badala wakazane kusoma wamekazania siasa.
vikivunja sheria za chuo na kufukuzwa vinakuja kulalamika humu. nyie watoto ndo kwanza mnatafuta elimu, hiyo ccm ilikuwape na chadema kama wewe ni mwaka wa pili degree si ajabu ulikuwa hujazaliwa pia, utavikuta tu. mnakimbilia wapi? achaneni na akina lema wanawapotieza hao. wao wanamaisha yao, wewe ukifukuzwa/UKIFELI leo ndo imekula kwako.YAZINGATIENI HAYA.
andelea kuleta ngonjera zako hapa. ukifukuzwa unakuja kutuandikia makala reeeeefu la malalamiko. kwa nini usijifunze kutokana na makosa? au hujui maana ya historia?Wewe akili zako ni ndogo sana.
*Vyuoni kuna MASOMO na MAISHA.
Maisha ni kila kitu yaani Imani, Mapenzi, Michezo, Siasa, Mahitaji(Chakula, mavazi, malazi, Pesa) Starehe(Pombe, muziki), Familia nk. Kila mwanachuo kuna kitu kimojawapo katika maisha anakihusudu zaidi katika baadhi ya vitu nilivyovitaja hapo juu.
Na maisha yanachukua zaidi ya 60% ya muda na akili ya mwanachuo awapo chuoni. Hivyo kufanikiwa kwa kimasomo kwa mwanachuo kunategemea sana namna anavyofanikiwa na kumudu eneo la MAISHA analolihusudu.
*Siasa ndio eneo pekee la MAISHA kwa mwanachuo linaloweza kumpevusha fikra zake, yaani linamjenga vizuri FIKRA, MSIMAMO na UJASIRI katika maisha yake ya kila siku hasa atakapo maliza masomo.
Hivyo kila mwanachuo anapaswa(Lazima) ajihusishe na siasa akiwa chuoni ili kujijenga Kifikra, kimsimamo na Ujasiri katika maisha.