fidel mgaya
Member
- Jan 3, 2013
- 11
- 9
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha mtakatifu Agustino cha Mwanza na nasoma shahada ya ualimu mwaka wa pili... Leo tarehe 5/04/2013 ndio tarehe tulitakiwa kufanya uchaguzi kwa maana ya wabunge, na pia Urais cha kusikitisha ni kwamba Majina yaliyopitishwa na Senate ya wagombea wawili ambao walipaswa kuchuana leo ambao ni KIMENYI DAMAS anaesoma Sheria mwaka wa pili na Donavani Mcheshi anaesoma shahada ya Mahusiano ya umma (PR) wamewekewa pingamizi na kijana aliewekwa na C.C.M kwa jina la PETER JOHN BEGER ikiwa ni mpango wa chama hicho kuhakikisha ya kwamba Marais wa vyuo vikuu vyote wanakua wanaCCM ili kuwapa ahueni ya matamko yanayokemea maovu yao.
Na pingamizi waliloweka kwanza kwamba tume ya uchaguzi imeundwa na CHADEMA.
2. Wagombea ni wa CHADEMA kwamba wataleta mgomo
3.kwamba Tume iundwe ambayo ni huru.
Mpango huo wakuwasimika maraisi wa C.C.M ulijulikana baada ya Mbunge Juma Nkamia kuzungumza na wanachama wa C.C.M tawi la SAUT mnamo tarehe 08/01/2013 na kweli tunaona kama wanafanikiwa ni hayo tu wapendwa ndugu wana Jamii....