Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,871
kuna MTU kaniambia kafa..cc msalani Allan Musa
Habari zilizo nifikia Katibu Kata wa CCM THEMI Arusha Bwana Erick Mwanila ametapeli na kujifanya mkurugenzi wa BVR ARUSHA kwenye kituo cha Kujiandikishia wapiga kura jukwa la taso nanenane nakuleta fujo hivyo kusababisha wananchi wenye hasira kali kumpiga na kuambulia ngeo za kutosha hadi hapo polisi kumuokoa.