CCM Watapeli Arusha

Chademakwanza

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
6,346
1,871
Habari zilizo nifikia Katibu Kata wa CCM THEMI Arusha Bwana Erick Mwanila ametapeli na kujifanya mkurugenzi wa BVR ARUSHA kwenye kituo cha Kujiandikishia wapiga kura jukwa la taso nanenane nakuleta fujo hivyo kusababisha wananchi wenye hasira kali kumpiga na kuambulia ngeu za kutosha hadi hapo polisi kumuokoa.
 
Ninavyowaona vijana hapa Arusha kwenye hii misitari ya kujiandikisha wamedhamiria kuondoa watu kama hawa. Ukitaka jaribu ku temper kwenye foleni maeneo ya Kimandolu uone mziki wake
 
Alitaka awahi kuingiza goli la mkono bila refa kuona. Marefa wengine macho kwelikweli.
 
Japo wana ccm wanategea polis lkn wasiombe vurugu zitokee watakoma,kama hawajui mdhara ya kutegemea polis na jeshi wamtume mtu akafanye utafiti libya alafu arudi aje awape majibu
 
Asante kwa taarifa kamanda Chademakwanza ningekuwa eneo la tukio tungekuwa tunaongelea habari nyingine kwa sasa .hawajamvunja hata meno huko mdomoni.
 
Last edited by a moderator:
Safi sana

Habari zilizo nifikia Katibu Kata wa CCM THEMI Arusha Bwana Erick Mwanila ametapeli na kujifanya mkurugenzi wa BVR ARUSHA kwenye kituo cha Kujiandikishia wapiga kura jukwa la taso nanenane nakuleta fujo hivyo kusababisha wananchi wenye hasira kali kumpiga na kuambulia ngeo za kutosha hadi hapo polisi kumuokoa.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom