CCM watanzania mmewachosha ndio maana wanawachukia

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Hakika afya ya watanzania inatatanisha kutokana Na ugumu wa maisha unaoletwa Na CCM Na Serikali yake.Watanzania hawaelewi nini kimewapata kwani maisha yamekuwa magumu kila uchwao.Gharama za maisha zimepanda kodi kila kitu ajira hakuna, mishahara IPO palepale mikopo ya wanafunzi majanga buashaea zimefungwa viongozi wamekuwa Na kauli za ubabe ili mradi tumeichukia CCM
 
Back
Top Bottom