CCM watakubali matokeo ya kushindwa Igunga?

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Ikiwa tume ya uchaguzi ni yao,mtu wa kutangaza matokeo ni wao,polisi ni yao,jeshi ni lao na
uchafu wa mbinu zote za wizi wa kura ni wao. Je ikatokea chama cha upinzani kimeshinda ucha
guzi huu wa Igunga, Je ni kweli ccm watakuwa teyeri kukubari matokeo ya kushindwa? au ndiyo
tutegemee yaleyale ya miaka yote ya kutupiga changa la macho bin kuchakachua matokeo?

Wana jamvi, mnafikiri kifanyike kitu gani ili this time ccm isijitangazie ushindi wa ujanja ujanja na
ulaghai huko Igunga? Maana wananchi tunaweza kuteseka kwa kuamka asubuhi sana na kupanga
foleni ya kupiga kura....na kura zetu zikashinda. Lakini mwisho wa siku utasikia ccm wameshinda kwa
kishindo.

Je, kwenye uchaguzi huu wa Igunga ccm watakubari matokeo ya kushindwa? Na je this time kifanyi
ke nini ili kuzuia ccm wasiibe kura na kujitangazia matokeo ki ujanja ujanja na ulaghai? - Nawasilisha.
 
Magamba lazima tuyashike pabaya, cdm tutafute mawakala wa kuaminika kisha wapigakura wapewe jukumu la kulinda kura zao kama tulivyo fanya Arusha
 
Back
Top Bottom