Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,044
- 5,114
Mi hata kwenye Tv nikiwaona nabadilisha faster station nyingine au kama hakuna kipindi kizuri nazima kabisa Tv!
we kiboko, familia vipi hasa watoto wadogo?
Mi hata kwenye Tv nikiwaona nabadilisha faster station nyingine au kama hakuna kipindi kizuri nazima kabisa Tv!
JB ni muigizaji mzuri sana ila toka avunje amri ya 11, sina hamu ya kumtazama tena!
Inajiendesha wakati imeshakufa kuna marehemu anayetembeaga?We nani kakuweka uwe msemaji wa bongo muvi kwani??
Bongo muvi ni indastri inajiendesha yenyewe wala hatuhitaji utupigie debe.
Aunt Ezekiel kumbe walienda kwenye utalii marekani na Nyalandu duh bongo movies imejaa makahaba kama alivyosema Nay wa mitego.Si ndo hao akina aunt Ezekiel wanatumiwa kama vivutio vya ndani vya utalii na akina Nyalandu kama viburudisho! Akina Cheni na Steve Nyerere wamekuwa makuwadi na madalali wa akina Lulu kwa akina Komba!
Bongo movie imekuwa Danguro kama madanguro mengine tu!
JB ni muigizaji mzuri sana ila toka avunje amri ya 11, sina hamu ya kumtazama tena!
Mi hata kwenye Tv nikiwaona nabadilisha faster station nyingine au kama hakuna kipindi kizuri nazima kabisa Tv!
Toka mlipo watumia mwaka Jana kule mbeya kwenye sherehe zenu, Bongo move Wamepoteana hawathaminiki tena kwa watanzanzania ,nanyi mmeonyesha kuwatenga baada ya kuisha thamani , mwaka huu songea mmemtumia Diamond na kuwaacha wao. CCM hawa bongo move ni vijana wetu.
wapi Johari, wapi nyerere, wapi Jb, OPLA, Wastala,Wapi Bongo move?
Si ndo hao akina aunt Ezekiel wanatumiwa kama vivutio vya ndani vya utalii na akina Nyalandu kama viburudisho! Akina Cheni na Steve Nyerere wamekuwa makuwadi na madalali wa akina Lulu kwa akina Komba!
Bongo movie imekuwa Danguro kama madanguro mengine tu!
we kiboko, familia vipi hasa watoto wadogo?