wananchi wa Jimbo la kilindi mkoani Tanga wameweka msimamo wakuto kumchagua mbunge wa ccm katka uchaguzi mkuu kwa kua mgombea huyo wa ccm hakua ni chaguo lao, wasema mgombea huyo alibebwa na viongozi wa ccm Wilaya ya kilindi, viongozi hao waliahidiwa kujengewa nyumba na mgombea huyo kitendo kinacho wafanya wananchi hao kukataa kumchagua mgombea wa ccm kwa kua hawawezi kuchagua kiongozi kwa maslahi ya watu wachache, hata hivyo aliye kua mgombea wa kura za maoni Jimbo la kilindi kada wa ccm Magawa Ndaro amehamia Chadema na amesha pendekezwa kugombea ubunge Jimbo la kilindi kwa tiket ya ukawa, katka Jimbo la kilindi ukawa wamefanikiwa kusimamisha wagombea udiwani katka kata zote 21.