CCM Wapokea Kadi za Wapinzani / UKAWA kwa Malundo

CCM Wapokea Kadi za Wapinzani / UKAWA kwa Malundo

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
CCM WAPOKEA KADI ZA WAPINZANI KWA MALUNDO



SUREZZ.jpg


58.jpg


4.+Mwingulu+akionyesh+kadi+za+Chadema+na+TLP.jpg


14.jpg


Wapinzani wa Vyama Vyote Warudisha Kadi kwa Malundo
 
Kadi zote hizo mpyaaaaaaaaaa!!!!!!! CCM bhanaaaaaaa, wanajitekenya halafu wanacheka wenyewe! Hakuna kitu hapo, Rais wetu ni Lowassa iwe jua iwe mvua, HATUDANGANYIKI!!!!!!!!!!!!
 
Ccm mnachekesha sana bado mnatumia mbinu za 2005, pole sana.
 
Nikajua wamenunua vichinjio, daahha hizo sanaaa za kizamani sana, tukutane oktoba 25.
 
Huyo mzee wenu Slaa amepishana na msimu. Hata kama anatumika inabidi awe na aibu, inamaana ufisadi anaoujua ni Richmond peke yake? Tegeta ESCROW, Epa, Kagoda, vivuko vibovu, mabehewa na vichwa vya treni feck n.k ni ni misamiati ya kichina kwamba havielewi? Mbona huyu mzee zuzu namna hii? Mbona wakIna Chenge, NGELEJA, Karamagi, TIBAIJUKA n.k.hawaongelei au kwa kuwa wamefunikwa na shuka CCM? Hivi Josephine ni muhimu kuliko mabadiliko? Mbona anakomaa kujifunika shuka tayari kumekucha? Ccm inawakodi vijana kwa ujira kiduchu kujifanya wanamuunga mkono Slaa ni UJINGA tutawapa MKONG'OTO MMITAANI MPAKA KIELEWEKE. MABADILIKO KWANZA. Adui yetu mkubwa ni MKOLONI MWEUSI ccm. TUTOKOMEZE HIKI KIRUSI.
 
Tukipita hapo.cc watarudisha walizochukua leo kwenu kumbe kumi.ndio.malundo????
 
Duh! Kweli ccm mwaka huu lazima akili iwakae sawasawa,nasikia 1995 wakati wa Mrema mwl.Nyerere ndie alieokoa jahaz la ccm kwa kumnani BWM kwa nguvu zote,sasa mwaka huu kwa Lowassa sioni mnaponea wapi na hayo maigizo yenu.
 
Hao waliprudisha mbona siwaoni? Mtachoka mwaka huu mmeliwa.
 
Kadi zote hizo mpyaaaaaaaaaa!!!!!!! CCM bhanaaaaaaa, wanajitekenya halafu wanacheka wenyewe! Hakuna kitu hapo, Rais wetu ni Lowassa iwe jua iwe mvua, HATUDANGANYIKI!!!!!!!!!!!!

JIPE MOYO NA LOWASSA WAKO! Hatununuliwi!
 
Back
Top Bottom