mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,757
- 6,293
Kumbukeni lakini, hii bado ni CCM....chama kisicho na dira maalum ya kuliongoza hili taifa. Mnakumbuka enzi za utawala wa rais wetu "Mtalii" Kikwete ile awamu yake ya kwanza, jamaa alichagua mawaziri karibia ya wote Maprofesa ila walishindwa kuliongoza hili taifa kupiga hatua mbele. CCM haiwezi hata siku moja kuiendeleza hii nchi hata iongozwe na malaika aliyevaa nguo na bendera ya CCM, haitawezekana kamwe.Kama ulikua hujui kuwa CCM imepitisha MAPROFESA 16 kugombea ubunge wacha nikufahamishe;-
Muda mchache uliopita CCM imetoka kutangaza matokeo ya nafasi za ubunge,
Katika matangazo hayo watu wenye elimu ya uprofesa wapo 16,
Je unataka kujua ni akina nani hao na wanagombea jimbo gani,
Soma orodha hapa chini kama fuatavyo;-
1). Prof. Ester William Dungumaro (Jimbo la Korogwe Mjini)
2). Prof. George F. Kinyashi (Jimbo la Korogwe Vijijini)
3). Prof. Mangasini Atanas Katundu (Jimbo la Kaliua)
4). Prof. Norman Adamson Msigala (Jimbo la Makete)
5). Prof. Noah Makula Pauline (Jimbo la Magu)
6). Prof. Edwinus Chrisantus Lyaya (Jimbo la Magu)
7). Prof. Palamagamba Kabudi (Jimbo la Kilosa)
8). Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo (Jimbo la Musoma Vijijini)
9). Prof. Neema Penance Kumburu (Jimbo la Moshi Mjini)
10). Prof. Patrick A. Ndakidemi (Jimbo la Moshi Vijijini)
11). Prof. Pius Yanda (Jimbo la Buhigwe)
12). Prof. Joyce Lazaro Ndalichako (Jimbo la Kasulu Mjini)
13). Prof. Obadia Venance Nyongole (Jimbo la Mufindi Kaskazini)
14). Prof. Alexander Kitila Mkumbo (Jimbo la Ubungo)
15). Prof. Kokel Letia Melumbo (Jimbo la Ngorongoro)
16). Prof. Daniel Mrisho Pallangyo (Jimbo la Arumeru Mashariki)
Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka Morogoro
Hamna lolote hapo, ni ujinga mtupu tu....kwani enzi za Mze wa Msoga (Mtalii Hasara) ilikuwaje? Si alikuwa na mawaziri ambao ni Maprofesa, walifanya nini kuliendeleza hili taifa zaidi ya kulifilisi....CCM si chama cha maana, wao walishashindwa kuliongoza hili taifa, kilichobaki kwao ni maigizo tu. Hapo washachagua machangudoa wa kuwala na kupokezana kuwaambukiza magonjwa kuanzia 2025 - 2030.Kama ulikua hujui kuwa CCM imepitisha MAPROFESA 16 kugombea ubunge wacha nikufahamishe;-
Muda mchache uliopita CCM imetoka kutangaza matokeo ya nafasi za ubunge,
Katika matangazo hayo watu wenye elimu ya uprofesa wapo 16,
Je unataka kujua ni akina nani hao na wanagombea jimbo gani,
Soma orodha hapa chini kama fuatavyo;-
1). Prof. Ester William Dungumaro (Jimbo la Korogwe Mjini)
2). Prof. George F. Kinyashi (Jimbo la Korogwe Vijijini)
3). Prof. Mangasini Atanas Katundu (Jimbo la Kaliua)
4). Prof. Norman Adamson Msigala (Jimbo la Makete)
5). Prof. Noah Makula Pauline (Jimbo la Magu)
6). Prof. Edwinus Chrisantus Lyaya (Jimbo la Magu)
7). Prof. Palamagamba Kabudi (Jimbo la Kilosa)
8). Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo (Jimbo la Musoma Vijijini)
9). Prof. Neema Penance Kumburu (Jimbo la Moshi Mjini)
10). Prof. Patrick A. Ndakidemi (Jimbo la Moshi Vijijini)
11). Prof. Pius Yanda (Jimbo la Buhigwe)
12). Prof. Joyce Lazaro Ndalichako (Jimbo la Kasulu Mjini)
13). Prof. Obadia Venance Nyongole (Jimbo la Mufindi Kaskazini)
14). Prof. Alexander Kitila Mkumbo (Jimbo la Ubungo)
15). Prof. Kokel Letia Melumbo (Jimbo la Ngorongoro)
16). Prof. Daniel Mrisho Pallangyo (Jimbo la Arumeru Mashariki)
Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka Morogoro
Huko Vyuoni nani atafundisha? Japo Ubunge haumzuii Prof kuingia darasani.lakini u busy wa kazi sio rahisi kwake.Kama ulikua hujui kuwa CCM imepitisha MAPROFESA 16 kugombea ubunge wacha nikufahamishe;-
Muda mchache uliopita CCM imetoka kutangaza matokeo ya nafasi za ubunge,
Katika matangazo hayo watu wenye elimu ya uprofesa wapo 16,
Je unataka kujua ni akina nani hao na wanagombea jimbo gani,
Soma orodha hapa chini kama fuatavyo;-
1). Prof. Ester William Dungumaro (Jimbo la Korogwe Mjini)
2). Prof. George F. Kinyashi (Jimbo la Korogwe Vijijini)
3). Prof. Mangasini Atanas Katundu (Jimbo la Kaliua)
4). Prof. Norman Adamson Msigala (Jimbo la Makete)
5). Prof. Noah Makula Pauline (Jimbo la Magu)
6). Prof. Edwinus Chrisantus Lyaya (Jimbo la Magu)
7). Prof. Palamagamba Kabudi (Jimbo la Kilosa)
8). Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo (Jimbo la Musoma Vijijini)
9). Prof. Neema Penance Kumburu (Jimbo la Moshi Mjini)
10). Prof. Patrick A. Ndakidemi (Jimbo la Moshi Vijijini)
11). Prof. Pius Yanda (Jimbo la Buhigwe)
12). Prof. Joyce Lazaro Ndalichako (Jimbo la Kasulu Mjini)
13). Prof. Obadia Venance Nyongole (Jimbo la Mufindi Kaskazini)
14). Prof. Alexander Kitila Mkumbo (Jimbo la Ubungo)
15). Prof. Kokel Letia Melumbo (Jimbo la Ngorongoro)
16). Prof. Daniel Mrisho Pallangyo (Jimbo la Arumeru Mashariki)
Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka Morogoro
Kule ni ma Dr.Naona maprofesa wengi wapo upande mmoja ina maana kule kwingine hakuna maproo au ni mtego
Tangu lini unasikiliza Bunge Hadi useme hujawahi sikia? Acha uongo .Sijawahi kusikia profesa mbunge akitoa hoja ya kiprofesa,zaidi Huwa wako kimya tu hata pale mambo yanapo haribika,wanazidiwa hoja na Mbunge Musukuma.Warudi vyuoni wakafundishe au wajiajiri.
Mleta mada ameandika hii kama jambo la kujivunia. Ujinga ntupuDaah hawa kwanini wasibaki kufundisha??
Matumizi mabaya kabisa ya elimu zao
Angalia Umri waoDaah hawa kwanini wasibaki kufundisha??
Matumizi mabaya kabisa ya elimu zao
Sifa ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu!!??
Huko bungeni tungewaacha wanaojua kusoma na kuandika tu
Hawa maprofesa wangebaki kushika chaki
Na kuna phd Za kumwagaNaona maprofesa wengi wapo upande mmoja ina maana kule kwingine hakuna maproo au ni mtego
Tupunguze wivu na mihemko. Kwani ma-Profesa wamevunja sheria ganibya nchi kugombea ubunge?Kama ulikua hujui kuwa CCM imepitisha MAPROFESA 16 kugombea ubunge wacha nikufahamishe;-
Muda mchache uliopita CCM imetoka kutangaza matokeo ya nafasi za ubunge,
Katika matangazo hayo watu wenye elimu ya uprofesa wapo 16,
Je unataka kujua ni akina nani hao na wanagombea jimbo gani,
Soma orodha hapa chini kama fuatavyo;-
1). Prof. Ester William Dungumaro (Jimbo la Korogwe Mjini)
2). Prof. George F. Kinyashi (Jimbo la Korogwe Vijijini)
3). Prof. Mangasini Atanas Katundu (Jimbo la Kaliua)
4). Prof. Norman Adamson Msigala (Jimbo la Makete)
5). Prof. Noah Makula Pauline (Jimbo la Magu)
6). Prof. Edwinus Chrisantus Lyaya (Jimbo la Magu)
7). Prof. Palamagamba Kabudi (Jimbo la Kilosa)
8). Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo (Jimbo la Musoma Vijijini)
9). Prof. Neema Penance Kumburu (Jimbo la Moshi Mjini)
10). Prof. Patrick A. Ndakidemi (Jimbo la Moshi Vijijini)
11). Prof. Pius Yanda (Jimbo la Buhigwe)
12). Prof. Joyce Lazaro Ndalichako (Jimbo la Kasulu Mjini)
13). Prof. Obadia Venance Nyongole (Jimbo la Mufindi Kaskazini)
14). Prof. Alexander Kitila Mkumbo (Jimbo la Ubungo)
15). Prof. Kokel Letia Melumbo (Jimbo la Ngorongoro)
16). Prof. Daniel Mrisho Pallangyo (Jimbo la Arumeru Mashariki)
Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka Morogoro
Ngumbaru tumejaa hasiraHawana Msaada wowote hao
Noted!Mnisamehe kusema nasikitika kuona wote wanatoka katika itikadi moja, mbali na ya siasa
Usishangae. Anakula alikopeleka mboga.2010 wakati nasoma Udsm huyu Prof Kitila mkumbo enzi hizo ni Dr na mfuasi mkubwa wa Chadema alikua anatufundisha course moja ya education inaitwa SOCIAL PSYCHOLOGY alikua anatoa mifano mingi ya kuiponda sana Ccm na watu wake.. Leo 2025 nikimwangalia Profesa Kitila Mkumbo kwenye TV mpaka naishiwa nguvu.
Sasa Huwa wanaongea nini zaidi ya kusifia pasiposifiwa ili kujihakikishia teuzi kipindi kama hiki Cha uchaguzi.Tangu lini unasikiliza Bunge Hadi useme hujawahi sikia? Acha uongo .
Ingia U tube msikilize Kitila Mkumbo , Prof.Muhongo na Prof.Mkenda
Wewe endelea kusikiliza ujinga wa Chadomo hukoSasa Huwa wanaongea nini zaidi ya kusifia pasiposifiwa ili kujihakikishia teuzi kipindi kama hiki Cha uchaguzi.