CCM waondoeni hao wahuni walioteka chama chenu

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,834
Reaction score
13,069
CCM haya yote yanayoendelea kama utekaji,mauaji nk ni kwa sababu wahuni wameteka chama chenu na serikali.Watanzania. wameshawawakataa ndo maana mnatumia nguvu nyingi mpaka kuua ili muwe madarakani.

Kama hamtaki chama chenu kuanguka watoeni hao wahuni madarakani na chamani msafishe kila kitu.


Nb.suala la serikali hii ya kihuni kuanguka ni suala la muda tu.
 
useless and completely nonsense 🐒
 
Pia watu wajinga kama nyie mmebaki wachache watanzania wengi wameamka na tutaikomboa nchi kutoa kwa wahuni na nyie vibaraka vyake.
calm down plz gentleman,

epuka mihemko useless kwenye hoja nonsense, plz plz gentleman 🐒
 
calm down plz gentleman,

epuka mihemko useless kwenye hoja nonsense, plz plz gentleman 🐒
wewe ni aina ya hawa watu ambao ni Brainless na mmejaa CCM na mnatumiwa na wahuni ambao wataenda kuanguka.
 

Attachments

  • 20260521_151519.jpg
    81.1 KB · Views: 14
Na wamemuweka hapo chura aka kizimkazi kama sanamu la michelini.
Full kumwendesha kama mwana sesere.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mwanachama wa kweli wa CCM aliyebaki ni mmoja tu, Joseph Sinde Warioba.
 
Hawawezi kukuelewa wala hawayhubutu kufanya hilo zaidi watekaji wauaji watazawadiwa vyeo ili wazidi kulinda chama kinachoelekea kaburini kuzikwa!
 
wahuni yanatapatapa lakini yanaenda kumalizwa kwa sababu Mungu yupo kazini.baada yawahuni papa kumalizwa tutaanzia kapeni maliza machawa.wahuni mmeandikiwa kushushwa mbinguni na duniani hamponi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…