GE2025 CCM waogopa hadi bendera! Mwenyekiti wa CCM aagiza bendera za CHADEMA zishushwe wakati wa ziara ya kampeni ya Samia

GE2025 CCM waogopa hadi bendera! Mwenyekiti wa CCM aagiza bendera za CHADEMA zishushwe wakati wa ziara ya kampeni ya Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Katika video inayosambaa mitandaoni ikionyesha kundi la wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika harakati za kushusha bendera za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika maeneo mbalimbali ya Musoma.

Kwa mujibu wa maelezo yanayosikika kwenye video hiyo, hatua hiyo inadaiwa kuwa ni utekelezaji wa maelekezo kutoka Ofisi ya CCM Musoma, wakitaka bendera hizo ziondolewe kwa sababu chama hicho cha upinzani hakishiriki uchaguzi, na Samia— ambaye pia ni mgombea wa urais kupitia CCM — tangu jana Oktoba 9, 2025 amekuwa huko kufanya mkutano wa kampeni katika mkoa wa Mara.


 
Back
Top Bottom