CCM wanunua nakala za Tanzania daima kwa wingi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wanunua nakala za Tanzania daima kwa wingi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Watu, Mar 4, 2011.

 1. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Kuna tetesi kuwa kuna watu wanaodahaniwa ni CCM hununua nakala nyingi za Tanzania Daima kwa wasambasaji, ile gazeti hilo lisifike kwa wachuuzi wa reja reja, hence lisifike kwa wananchi.

  Nimekosa nakala yangu leo, ndio muuza magazeti akaniambia hivyo je kuna ukweli wowote?
   
 2. H

  Hardwood JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 80
  Naogopa kuchangia isije ikawa mnatafuta njia za kutangaza magazeti yenu hapa..... Tuhakikishie kwanza kwamba wewe sio MARKETING MANAGER wa TANZANIA DAIMA.
   
 3. d

  dotto JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ina ukweli kabisa
   
 4. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yawezekana mkuu, hata website yao haifanyi kazi :A S 13:!!!!
   
 5. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180

  Sio husiani na umarketing wa hilo gazeti, liko makini nikilikosa huwa cna raha!
   
 6. S

  SURNAME Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kabla sijachangia na kuegemea upande mmoja,naomba msaada wa maswali haya;

  1.Je umewahi likosa mara ngapi?

  2.Kuna gazeti lolote uliwahi liulizia siku za nyuma ukalikosa?

  3.Ni eneo gani uliulizia?

  4.Je,wajua tanzania daima now days linauza sana,naweza sema laongoza je wazalishaji wameongeza copy?
   
 7. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hilo swala ni kweli kabisa,inatakiwa uongozi wa tanzania daima wajipange upya,nipo maeneo ya wizara ya mambo ya ndani kuna meza kama 3 hivi za magazeti,ila tanzania daima hakuna hata copy moja.
   
 8. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sitoshangaa mana ake hii mijangiri ya ccm haishindwi kufanya huo upumbavu.....
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hii kitu ina ukweli, nilishawai kuandika hapo nyuma huu mchezo mchafu ulianza mwezi wa nane 2010 kabla ya kampani, jamaa wananunua mzigo mkubwa wa TANZNIA DAIMA wanashield sijui naona hii njama bado inaendelea, nasikia kuna mtu kaweka standing order ya kila siku gazeti likito yeye anachukua mzigo mkubwa wengine wanakosa:A S 13::A S 13::A S 13:
   
 10. W

  WildCard JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kibanda anachunguliaga humu. Atatufahamisha. Kabla ya saa2 leo yalikuwepo mengi tu. Mi nanunuaga la Jumatano na Jumapili. Siku zingine gazeti langu Mwananchi. Bei ni kubwa mno ya magazeti kwa sasa.
   
 11. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wafungue na library!!!!
   
 12. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tanzania Daima si gazeti la MBOWE wa Mwenye hisa kubwa ndani ya chadema
   
 13. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Sijakuelewa vizuri ndugu.....
   
 14. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hakuna ajabu kujuta copy zote zimeisha kwa wauzaji, jaribu kwingine!
   
 15. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,399
  Trophy Points: 280
  limesheheni nini kwani? tujue kilichopo kwanza
   
 16. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  tabzania daismma linajiuza lenyewe
   
 17. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  huu utahira wa ukubwan mbaya balaa! Ulchoandka kna uhusiano gn na mada ilyotolewa hapa? Mbona uhuru, mzalendo, rai n.k ni magazet ya mumeo R.A husemi?
   
 18. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hii ni kweli kabisa na ni kutokana gazeti hili kuandika mambo yanayohusu operesheni ya CDM inayoendelea, jaribu kwenda kwenye maeneo waanakouza magazetu utakuta mapema haipo.

  Naombauzalishwaji na usambazaji uongezeke haraka iwezekananvyo.
   
 19. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  hata RAI wiki hii lilikatazwa kuchapwa kwa kile wanachosema kuingilia maslahi ya wenye nchi
   
 20. d

  deecharity JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  cjakuelewa vizuri mkubwa, fafanua
   
Loading...