tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,434
Nimekuwa nikishangazwa sana na kauli (ninazoweza kuziita kebehi) za washabiki wa CCM humu JF au kwenye chombo kingine chochote cha habari wakiwatuhumu CDM kwa msimamo wao juu ya matokeo yaliyo muweka Kikwete (BA) madarakani. Viongozi wa CDM hususan M/kiti wa Taifa (F. Mbowe) na Katibu Mkuu (Slaa (PhD)) wamefafanua vizuri tena consistently bila kupishana maneno juu ya sababu za kufanya hivyo likiwemo tukio la walkout pale bungeni. Naamini kwa 100% kama Slaa (PhD) (Allah amzidishie hekima) na CDM yake wangetu-pump watu maneno ya kichiochezi wakatio ule wa joto la matokeo, hakika tungekuwa tunazungumza mengine muda huu.....wameamua kutumia njia passive kulalamikia mchakato mzima wa kupatikana kwa 'mshindi' lakini CCM wanawaona CDM wajinga. sasa nafikiri CCM walitaka Slaa (PhD) afanye kama Gbagbo au atuhimize mashabiki wake tuingie mitaani kwa maandamano kupinga votes rigging ya NEC na TISS. naomba CCM muipongeze CDM kwa hekima na uzalendo waliouonyesha hata kutumia passive ways na kukubali maombi ya mabalozi na viongozi wa dini (Islam na Christian) kwamba asisambaze nje documents clear za ushahidi wa uchakachuaji. Hii imetufundisha kwamba next time 'kama mbuai,mbuai'='kama noma,na iwe noma' maana CCM wamekosa staha.....wanaiba then wanaleta nyodo!!!!
Hivi hadi leo bado kuna watu wanaamini dr slaa alishinda?

Why not now?? hauoni umejichanganya ssns mkuu!!! umesifia kwa CDM kuchukua njia ya peace! lakini umemalizia kwa kusema noma iwe noma, hauoni ume-nullify statement zote za mwanzo na hii kupelekea kuona CDM ni wasanii???
Maana kwa mwendo huu CCM ni watawala milele! umeona kitu lakini hapo, usije ukasema waberoya mbaya, umeona nakuuliza?? LOL!
Hivi hadi leo bado kuna watu wanaamini dr slaa alishinda?
Ameshinda kwa KURA ngapi na % NGAPISio tunaamini tu bali tuna uhakika kuwa Dr. (PHD) alishinda