CCM wanatumia watoto wadogo kwenye siasa


TIQO

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Messages
13,816
Likes
71
Points
0
TIQO

TIQO

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2011
13,816 71 0


makada wa CCM wakiwa wamembeba juu mwenyekiti mpya wa chipukizi mkoa wa Iringa
kamanda wa UVCCM mkoa wa Iringa Salim Asas kushoto akimkaribisha mwenyekiti wa chipukizi mkoa Enock Luhala mara baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi mkuu wa Chipukizi mkoa
Kamanda wa UV CCM ambae alikuwa mgeni rasmi katika uchaguzi wa Chipukizi mkoa wa Iringa Salim Asas akiwa na viongozi wa UVCCM mkoa Tumain Msowoya mwenyekiti wa umoja huo kushoto na mwenyekiti mpya wa chipukizi mkoa Enock Luhala kulia
Kamanda wa UVCCM mkoa wa Iringa Salim Asas kushoto na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Iringa Tumain Msowoya wakiwa wamewapakata wajumbe wa mkutano mkuu wa Chipukizi mkoa wa Iringa mara baada ya uchaguzi.Chanzo Mzee wa matukio

NB:
Kitendo kama hiki kingefanywa na CHADEMA, TLP, CUF na vyama vingine vya siasa tungesikia kelele kibao za magamba kuwa wameanza kutumia watoto kwenye siasa mnakumbuka yale ya vyuo vikuu juzi kati hapa magamba walivyo kuwa wakilia siasa zimeanza mashuleni leo hii wao wanawatumia watoto kama chipukizi.
 
Chris Lukosi

Chris Lukosi

Tanzanite Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
4,586
Likes
34
Points
145
Chris Lukosi

Chris Lukosi

Tanzanite Member
Joined Aug 23, 2012
4,586 34 145
Weee mbulumundu unaelewa maana ya chipukizi?
 
CHASHA FARMING

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined
Jun 4, 2011
Messages
6,398
Likes
2,725
Points
280
CHASHA FARMING

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined Jun 4, 2011
6,398 2,725 280
Hivi mbona Kenya huwezi kuta hawa Wahindi wakifanya siasa? na hawataki kabisa kujihusisha na siasa, Ila huku Bongo tunawaona watu muhimu sana
 
CHASHA FARMING

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined
Jun 4, 2011
Messages
6,398
Likes
2,725
Points
280
CHASHA FARMING

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined Jun 4, 2011
6,398 2,725 280
Weee mbulumundu unaelewa maana ya chipukizi?
We mjinga sana, Hao watoto wanasoma saa ngapi? Kwa nini wasichukuliwe watoto wao ndo waje kufanya shoo hapo? acha ujinga mkuu, CCM wanatumia mbinu za kizamani sana za Enzi za wakina Mao
 
S

Sir Leem

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2008
Messages
576
Likes
44
Points
45
S

Sir Leem

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2008
576 44 45
Hivi mbona Kenya huwezi kuta hawa Wahindi wakifanya siasa? na hawataki kabisa kujihusisha na siasa, Ila huku Bongo tunawaona watu muhimu sana

Huyu Mwanasiasa kutoka Kenya "Mhindi"umepata kumsikia,au kenya ipi unizungumzia?
Halafu nahisi wewe ni mbumbumbu wa siasa!
 
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,994
Likes
491
Points
180
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,994 491 180
Hivi mbona Kenya huwezi kuta hawa Wahindi wakifanya siasa? na hawataki kabisa kujihusisha na siasa, Ila huku Bongo tunawaona watu muhimu sana
Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo unaweza kufanya chochote. Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo wenye hela wapo juu ya sheria
 
E

edward snowdern

Senior Member
Joined
Nov 30, 2013
Messages
139
Likes
0
Points
0
E

edward snowdern

Senior Member
Joined Nov 30, 2013
139 0 0
hakuna watoto walio kufa kwenye bomu la arusha? au walikuwa chipkizi wa ccm
 
R

Richard Robert

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
592
Likes
69
Points
45
R

Richard Robert

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
592 69 45
Magamba hizo ndiyo zao!
 
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Messages
835
Likes
2
Points
0
Age
26
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2013
835 2 0
Mmmh! Jamanii...
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,265
Likes
5,162
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,265 5,162 280
Weee mbulumundu unaelewa maana ya chipukizi?
Ccm imepanga pia kuwapa hawa vijana silaha kujiandaa 2015 kuingia msituni pindi chadema itakapochukua nchi
 
C

chingunduli

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
275
Likes
15
Points
35
C

chingunduli

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
275 15 35
Hivi mbona Kenya huwezi kuta hawa Wahindi wakifanya siasa? na hawataki kabisa kujihusisha na siasa, Ila huku Bongo tunawaona watu muhimu sana
Ubaguzi ni dhambi mbaya sana, nyie mkipewa hela na muhindi sawa ila wenzenu hamtaki wapewe.
 
A

alphagotta

Senior Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
113
Likes
0
Points
33
A

alphagotta

Senior Member
Joined Oct 27, 2014
113 0 33
Hii ni ishara mbaya kitendo cha wanasiasa kujitafutia umaarufu kupitia watoto wadogo. Kuna uwezekano mkubwa tukatengeneza taifa la kishabiki.
 
P

Pagan Amum

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Messages
1,762
Likes
3,255
Points
280
P

Pagan Amum

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2015
1,762 3,255 280
Ndo washafika menopause hawana ujanja tena hapo ndo wamegota
 

Forum statistics

Threads 1,252,180
Members 482,015
Posts 29,799,241