Adui wa Tanzanai ni CCM!
CCM ndiyo iliyotufikisha hapa huku ikijibainisha kuwa pekee kinchoweza kuipeleka TZ pahala sahihi. Hapa ndipo pahala sahihi? Kama ccm iliona inatupeleka pahala sahii, bila shaka kabisa ccm haiwezi kutuondoa hapa tulipo kwa kuwa ni mahala sahihi. Ili tuondoke hapa CCM IONDOKE MBELE YETU!. VINGINEVYO TUTAENDELEA KUKAA KWENYE HUU UCHAFU NA CCM HAIWEZI KUTUOA HAPA.
CCM inajibainisha ndicho chama pekee chenye haki ya kuongza nchi na lazima kiongoze kwa gharama yoyte hata kama kura kwenye masanduku hazitoshi. Kwa mantiki hii ccm inatulazimisha kukubaliana na haya madudu yake hata kama hatutaki. Kwa maslahi ya nani? Je, huku ndiko kupatwa au kutekwa kwa taifa? Lipi ni sahihi hapa?
Hakuna asiyejua namna Wabunge wa Tanzania wanavyotumia nguvu kubwa katika kukataa uhuni unaopelekwa bungeni ambao hauna tija kwa taifa. Kila mtu anajua naman wanavyokebehiwa na jinsi miswada ya hovyo inavyopitishwa na wabunge wa serkali bila hata chembe ya huruma kwa Tanzania. Leo hii, siyo jambo la kuudhi na la aibu, kuona hao hao wabunge wa serikali walilalamikia matokeo ya maamuzi yao wenyewe?
Ninapata shida kuelewa ufahamu wa wabunge wa serikali. Hivi wanapofanya maamuzi Bungeni bila uchambuzi, huwa wanakuwa wakiwaza kwamba madhara ya maamuzi yao hayatawakuta kwa kuwa watakuwa wamehamia ikulu wote na koo zao? Huu wizi unaosababishwa na poor controls, mikataba mibovu na governance ovyo, athari zake wao na koo zao wanazikwepaje?
WAo wakienda hospital wanapata huduma za tofauti na koo za wabunge wa Tanzania waso wabunge wa srikali? Watoto wetu wanaposhindwa kusoma kwa ajili hakuna hata fedha za mikopo, koo za Wabunge wa serikali zinajitosheleza katika hili? Kunapokuwa na jaa katika tifa, srikali haina hata uwezo wa kuwahudmia wahanga inabakia kutishiana atakayesema njaa kukiona, hawa wazaliwa katika koo zenye wabunge wa srikali, zinajikimu vipi na haya majanga?
Ni vigumu sana kuelewa, mawakala wa seriklia wanaridhia upumavue wa kiwango hiki kwa makofi na viergegere, taifa linaibiwa kwa ridhaa murua kabisa, halafu bila haya wanaaza ktutumia ubabe, kunyang'anya fedha zinazotolewa na watu binafsi katika maafa, eit zijenge miundo mbinu ya seikali. Hivi hki ni kitu gani ?
Seirkali saa inateka michango ya hiyari ya wtu katiak kufarijiana, eti inatka hizo feha za kufarijiana zijenge miundo mbinu ys serikali!. Haya maihti ya miundomibni huwa hawayaoni wanapopitisha budgeti kilevi huni?
Hizi fehda zinazohudjumiwa na maamuzi ya wabunge wa werikali, zisingetosha kununua technolojia ya kurahishaia polisi kudetect uharifu na kuwapunguzia adha plisi wetu ya kufanya kazi nguvu na hatarishi bila msaada?
Jesli letu la polisi lisingeweza hata kujengewa nyumba bora za kushi na familia zao kuliko vile wanaishi kama wakimbizi?
Ma trillion haya yameibwa kwa mkono wa wabugne wa sriklai, yasingeinua sana kiwango cha hukuduma za Afya, mazingira, huduma mbali mbai za jammii na vintegno mbali mbali vya taifiti nchini?
Tusingeimarisha miundombuni ya kilimo cha umwagiilliaji na kuwekeza katiak kutengeneza bidhaa safi viwndani kwa ajli ya kuexport finished goods badala ya raw materials kama tuanvyobangaiza kwa sasa?
NI FEDHEHA, NI UCHUNGU, NA AIBU!. TUTAJADILI HAPA KILA SIKU LAKINI BIA KUMWONDOA CCM HAKUAN KITU KITABADILIKA. CCM AMBYE NI KAMA SEHTANI MWENYE KAZI YA KUIBA HOJA, KUCHINJA NA KUHARIBU.