CCM wanamuogopa Dr Shein.

CCM wanamuogopa Dr Shein.

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
4,253
Reaction score
1,475
Ndugu wanajamvi kutokana na sintofahamu katika mchakato wa katiba ni dhahiri sada dr shein anaogopwa ndani ya ccm.

Miongoni mwa viogozi waliopendekezwa na Ukawa na viongozi na wasomi wengine katika kile kinachoitwa kunusuru mchakato wa katiba ni Rais JK wa Tanzania bara na Rais wa Zanziba dr Mohamedi shein kukaa pamija na kuzungumzia nusura hiyo.

Lakini katika hofu kubwa inayoonekana ni ccm kutokubali Dr shein kushirikishwa katika wajumbe watakaonusuru mchakato,je Dr Shein hakubaliani na CCM?au hofu ya ccm kutomshirikisha dr shein ni nini?
 
Kwanza kuna ukweli kwenye hii maneno? Kwasababu hatujui umeyapata wapi, hatuna ushahidi. Ngoja wenye kujua ukweli waje watuhabarishe.
 
Wewe unalopoka tu huna ushahidi wowote,story za masikani za gongo hizo
 
Wewe unalopoka tu huna ushahidi wowote,story za masikani za gongo hizo
Mbona vyombo vya habari kibaao vimeandika habari hiyo mkuu Kuanzia Mwananchi ya juzi, ----- ya jana na kwenye mitandao mingi hata ha JF pia. Tujenge mazoea ya kujisomea sio kukurupuka na kuwayawaya ovyo.
 
Wewe unalopoka tu huna ushahidi wowote,story za masikani za gongo hizo
Mbona vyombo vya habari kibaao vimeandika habari hiyo mkuu Kuanzia Mwananchi ya juzi, m.a.w.io ya jana na kwenye mitandao mingi hata ha JF pia. Tujenge mazoea ya kujisomea sio kukurupuka na kuwayawaya ovyo.
 
Kiasi wamuogope maana upumbavu wa serikali mbili kuelekea moja haukubaliki Zanzibar ,na haswa CCM Zanzibar hawataki kusikia upumbavu wa kibara ule uliotolewa na Rukuvi pale kanisani ,serikali moja huko huko ,wakimaanisha Tanganyika yake na Zanzibar yake. Tatizo wabara mnashida ya kuelewa na kuwafahamu akina Sheini.
 
Ndugu wanajamvi kutokana na sintofahamu katika mchakato wa katiba ni dhahiri sada dr shein anaogopwa ndani ya ccm.

Miongoni mwa viogozi waliopendekezwa na Ukawa na viongozi na wasomi wengine katika kile kinachoitwa kunusuru mchakato wa katiba ni Rais JK wa Tanzania bara na Rais wa Zanziba dr Mohamedi shein kukaa pamija na kuzungumzia nusura hiyo.

Lakini katika hofu kubwa inayoonekana ni ccm kutokubali Dr shein kushirikishwa katika wajumbe watakaonusuru mchakato,je Dr Shein hakubaliani na CCM?au hofu ya ccm kutomshirikisha dr shein ni nini?

Eti JK ni "Rais wa Tanzania Bara," UKAWA kweli ni janga la kitaifa!
 
Back
Top Bottom