Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
hahahaha. ..binamuuuNdio maana mwaka huu mvua inaleta shida, njaa baadhi ya mikoa, hii ni laana kwa kuongozwa Na CCM
hahahaha. ..binamuuuNdio maana mwaka huu mvua inaleta shida, njaa baadhi ya mikoa, hii ni laana kwa kuongozwa Na CCM
umesomaje kama cjui kuandika, acha dharau weye ukawa meishiwa hamna cha maana mnatafuta vicingizio huko zanzibar wale wana raic wao pia katiba
Kama zanzibar ni nchi jirani majeshi yetu yanafanya nini huko? Wapewe uhuru wao kisha tuseme hayatuhusu.umesomaje kama cjui kuandika, acha dharau weye ukawa meishiwa hamna cha maana mnatafuta vicingizio huko zanzibar wale wana raic wao pia katiba
. ccm is doomedMpaka sasa wazanzibar wote wameshakuwa na hasira ya 1) Kutokuthaminiwa uhuru wao wa maoni 2) Kudharaulika ndani ya muungano kwani mpaka sasa serikali mpaka kwenye bunge wameshafanya karibu mambo yote bila kujali kama Zanzibar ina serikali ama la. 3) Kukandamizwa na vyombo vya dola.
Sasa kutokana na hayo inaonesha kabisa wazanzibar wanaenda kupiga kura za hasira ili kuiondoa CCM madarakani kwa nguvu zote na ihakikishe kwamba inarejesha uhuru wake na thamani ya raia wa Zanzibar. Na kwa hasira za wazanzibar kwa sasa sina hakika kama amani itaendelea kuwepo kama CCM itajaribu kuhodhi machaguo ya wananchi.
Kwa ufupi CCM imefanya kosa kubwa la kihistoria bila kufikiri na pasipo kujua. Imewapa wazanzibar sababu ya kuungana kwa pamoja kupigania uzanzibar wao and believe me wazanzibar sasa ni wamoja kuliko mda wowote ule. Na ni suala la mda tu. Baada ya miezi 4 au 5 kutoka sasa CCM zanzibar itakuwa ndani ya lile jumba la makumbusho pale forodhani.
Tanzania tulitetea uhuru wa biafra kutoka nigeria wakati africa yote ilipinga. Tulitetea ukombozi kusini mwa africa. Kuna ubaya gani tukiwatetea ndugu zetu wazenj wanaponyimwa haki ya kumchagua kiongozi wamtakae?we kazana tu kuitetea zanzibar uckute hata mia mfukon hauna piga kaz bect ya zenji waachie wenyewe watamalizana tu
It is very true.Ombi langu kwa Mungu aitazame Zanzibar
Kweli CCM ni majanga.umesomaje kama cjui kuandika, acha dharau weye ukawa meishiwa hamna cha maana mnatafuta vicingizio huko zanzibar wale wana raic wao pia katiba
Mkuu Wazanzibari unaowaongelea ni wapemba na waunguja kwa ujumla wao?vipi kuhusu machotara?leo mtajiita wazanzibari na kesho mtajiita wapemba na keshokutwa mtajiita machotara..lengo lenu ni nini?Mpaka sasa wazanzibar wote wameshakuwa na hasira ya 1) Kutokuthaminiwa uhuru wao wa maoni 2) Kudharaulika ndani ya muungano kwani mpaka sasa serikali mpaka kwenye bunge wameshafanya karibu mambo yote bila kujali kama Zanzibar ina serikali ama la. 3) Kukandamizwa na vyombo vya dola.
Sasa kutokana na hayo inaonesha kabisa wazanzibar wanaenda kupiga kura za hasira ili kuiondoa CCM madarakani kwa nguvu zote na ihakikishe kwamba inarejesha uhuru wake na thamani ya raia wa Zanzibar. Na kwa hasira za wazanzibar kwa sasa sina hakika kama amani itaendelea kuwepo kama CCM itajaribu kuhodhi machaguo ya wananchi.
Kwa ufupi CCM imefanya kosa kubwa la kihistoria bila kufikiri na pasipo kujua. Imewapa wazanzibar sababu ya kuungana kwa pamoja kupigania uzanzibar wao and believe me wazanzibar sasa ni wamoja kuliko mda wowote ule. Na ni suala la mda tu. Baada ya miezi 4 au 5 kutoka sasa CCM zanzibar itakuwa ndani ya lile jumba la makumbusho pale forodhani.
CCM TANGANYIKA?tena prpaganda za Kisonge. Hakuna kurejewa kwa uchaguzi.Wamesema hakuna kampeni lakini Alhaj Bulebo na CCM Tanganyika inapiga kambi Zanzibar, ya nini?
Unaweza kuwa na macho halafu huoni.Propaganda.