Si mlisemaga hamfiatilii bunge mkuu? Umejuaje haya?Yaani bunge lote mipasho tu ,wabunge 300 wameshindwa kuisimamia ,kuwajibisha serikali ,ajira za vijana hakuna wapo busy kumwongezea jiwe muda wa kukaa ikulu
Kwa hiyo wakikaa wenyewe umaskini utakuwa umeishahilo linalokuja la novemba ni balaa buluu mkuu hakutakuwa na upinzani
Kwakweli hali ya taifa letu kwa sasa inasikitisha na kukatisha tamaa sana!Shughuli ya kubadili vifungu vya sheria pamoja na minongono ya chini kwa chini ya kubadili katiba ikichagizwa na baadhi ya wabunge pamoja na spika siyo ya kupuuzwa. Waswahili walisema lisemwalo lipo kama halipo linakuja.
Mimi nasema hilo iko wazi kabisa na maandalizi imeanza leo Dodoma kuwaingiza watu wasio na sifa kisheria kuwa wanasheria wa kiwango cha mawakili hayo yote yanafanywa kumlenga nani? Kuna watu wanalengwa na kwa sababu za kisheria hawawezi kuwa mawakili kwa hiyo siku wakishamaliza yao, hao watu watakuwa viongozi wakubwa serikalini na kazi yao ni kufuata maelekezo ya aliyewasaidia kuwa pale.
Haiingii akilini kutoa upendeleo kwa jambo la kisheria ambalo limewekwa ili kuwa na weledi katika fani ya sheria kwa hiyo shughuli hii inayoendelea dodoma inanajisi tasnia ya sheria Tanzania.
Baada ya hapo kuna kazi kubwa inakuja Novemba ya kuwa na bunge la chama kimoja cha siasa ccm na ndipo itakapofanyika jambo kubwa la kihistoria. Watu wanajaribu kubisha bisha lakini mimi nawauliza watanzania walishakataa nini wakashinda.
Mkinipa jibu kwa swali langu hilo wanayowaza yanaweza kufeli. Kwangu mimi kama sio kutania na wamedhamiria kweli basi imepita siku nyingi sana sheria hiyo ya kumpa mkulu zaidi ya miaka kumi.
Lipo Tulilo kataa na tukashinda......mfano fao la uzeeni.......hakuna miaka 60 ........sio mpaka ufikishe hiyo miaka.........ila na wewe unareta uzi hapa kwa lawama inawezekana hata aliyekusomesha haoni faida .....maaana ukitoa kujua kuandika na kusoma basi ni kiingereza tu ulichonacho....... wewe unafikiri au unapenda kuwa na baba wa kambo?? Ccm kumuachia mtu mwingine yeyote achukue madaraka ni sawa na baba ako akubali mama ako arete baba ako mwingine....watu waliutafuta uhuru kwa tabu harafu waje waugawe bure tu uraisShughuli ya kubadili vifungu vya sheria pamoja na minongono ya chini kwa chini ya kubadili katiba ikichagizwa na baadhi ya wabunge pamoja na spika siyo ya kupuuzwa. Waswahili walisema lisemwalo lipo kama halipo linakuja.
Mimi nasema hilo iko wazi kabisa na maandalizi imeanza leo dodoma kuwaingiza watu wasio na sifa kisheria kuwa wanasheria wa kiwango cha mawakili hayo yote yanafanywa kumlenga nani? Kuna watu wanalengwa na kwa sababu za kisheria hawawezi kuwa mawakili kwa hiyo siku wakishamaliza yao, hao watu watakuwa viongozi wakubwa serikalini na kazi yao ni kufuata maelekezo ya aliyewasaidia kuwa pale.
Haiingii akilini kutoa upendeleo kwa jambo la kisheria ambalo limewekwa ili kuwa na weledi katika fani ya sheria kwa hiyo shughuli hii inayoendelea dodoma inanajisi tasnia ya sheria tanzania.
Baada ya hapo kuna kazi kubwa inakuja Novemba ya kuwa na bunge la chama kimoja cha siasa ccm na ndipo itakapofanyika jambo kubwa la kihistoria. Watu wanajaribu kubisha bisha lakini mimi nawauliza watanzania walishakataa nini wakashinda
Mkinipa jibu kwa swali langu hilo wanayowaza yanaweza kufeli. Kwangu mimi kama sio kutania na wamedhamiria kweli basi imepita siku nyingi sana sheria hiyo ya kumpa mkulu zaidi ya miaka kumi
nyerere mwenyewe alisema ccm sio mama yangu wala baba yangu wewe unasema eti ni kama baba ccm haina hati miliki ya nchi hiiLipo Tulilo kataa na tukashinda......mfano fao la uzeeni.......hakuna miaka 60 ........sio mpaka ufikishe hiyo miaka.........ila na wewe unareta uzi hapa kwa lawama inawezekana hata aliyekusomesha haoni faida .....maaana ukitoa kujua kuandika na kusoma basi ni kiingereza tu ulichonacho....... wewe unafikiri au unapenda kuwa na baba wa kambo?? Ccm kumuachia mtu mwingine yeyote achukue madaraka ni sawa na baba ako akubali mama ako arete baba ako mwingine....watu waliutafuta uhuru kwa tabu harafu waje waugawe bure tu urais