CCM wanagawa kombati za Chadema kwa green guard muda huu...

CCM wanagawa kombati za Chadema kwa green guard muda huu...

Kwa hiyo ccm wanataka kuvuruga amani ili wakwapue ushindi kwa nguvu, au siyo!!!
 
Nyi magwanda mbona wambea sana. Yaani stori zenu za uongouongo kama mademu. Hayo magwanda CCM wameyapata wapi?

Mitambo ya ki electronic ndo zimenasa uhuni wa ccm

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hapa kwa sasa tunakoelekea ni pasafi!
Hatutakubali upumbavu huu unaofanywa na mijinga wa ufisadi.

Sasa tunasema mwisho umefika!
 
"Kombat za CHADEMA"

Kombat za CHADEMA ndiyo zipi hizo?.

Zinatengenezwa na kiwanda gani na zinauzwa kwenye duka gani la CHADEMA.

Preemptive strike.

Ukiona CHADEMA wanakuja na jambo ambalo halijafanyika lazima wako kwenye mchakato wa kulifanya wao wenyewe.

Hapa ndiyo akili zilipofika mwisho wa kufikiri.

Kweli bavicha ni janga la Taifa.
 
Nape Hachana na Ca.......ne . Ni mke wa mtu. Unajua ni kweli kwamba unatembea naye. MWIGULU amekurekodi kigoma, Arusha na Dar, sehemu tofauti.-Weekend iliyopita kakurekodi Giraffe Hotel. Unakanusha publicly, lakini moyoni unajua kweli. Nimeona video, ni clips tofauti. Lengo ni unyamaze kumchafua Lowassa.-Hawataiachia, sasa hivi, na mpango mzima ni Chadema wapewe ili 2015 usianze kuropoka kumchafua Lowassa. Mwigulu amekuwa akitumia watu wa bodaboda kuwafatilia, na camera anazotumia ni za kuweka sekunde kadhaa. Hizi zimenunuliwa kuwadhibiti Chadema. Nashangaa zinatumiwa ndani ya CCM.-Mwigulu ni shetani mtu. Kaa mbali na wake za watu. Mwigulu pia alirekodi huyo mwanamke alipompigia mama mtoto wako na kuanza kumtukana. Haya yote unayajua. Usijifanye hapa haujua kitu. Chukua hatua. Hachana na wake za watu. Hata kama anakuonga hela, kaa mbali naye. Mwigulu anadai huyu mwanamke aliyewahi kutoka na Lowassa anakuletea siri za mzee Lowassa, baadae unazipeleka kwa kundi la Sitta na MembeNape kwa heshima ya mume mtu, tunaamua kutokutaja jina ila tunakushauri ukae mbali. Tuko kambi ya Lowasa na hatuelewi Mwigulu alikujaje huku na haya mambo yake ya kighaidi.

kwani hii thread inahusu nini?ujumbe wa nape ndo unatuwekea sisi ,si ungemuandikia barua.
 
tusishindane na majitu yanayoogopwa hata na polisi, kesho tuwaambie vijana wetu kesho wasivae viashiria vyovyote vya chama kama sheria ya uchaguzi inavyohitaji pia na tuelekeze nguvu kwenye kulinda kura
 
Hawa watu watachezea kila sehemu lakini sio Arusha... Big up makamanda...
I wish 2015 msambae nchi nzima kusimamia uchaguzi...
 
Uchaguzi wa kesho ni zaidi ya udiwani na ni zaidi ya umeya! Kuna kubwa linawatesa ccm hawataki wananchi walijue kuhusu Arusha hasa kiwanda cha matairi cha General tyre.

Nakubaliana na wewe mkuu kunakitu haiwezekani CCM wakatumia nguvu kubwa sana
 
Umbea umbea tu. Hivi nyie Magwanda mbona mpo kama mademu. Yaani ushambenga tu umewajaa. Hizo kombati za magwanda zimefikaje CCM?
.......Hivi huwa unaelewa unachoongea na kuuliza....kweli....? unaonekana una akili ndogo sana...?
 
"Kombat za CHADEMA"

Kombat za CHADEMA ndiyo zipi hizo?.

Zinatengenezwa na kiwanda gani na zinauzwa kwenye duka gani la CHADEMA.

Hapa ndiyo akili zilipofika mwisho wa kufikiri.

Kweli bavicha ni janga la Taifa.
Akili zako na huyo dada anayeitwa Radhia zimefanana...
 
Kwa hiyo ccm wanataka kuvuruga amani ili wakwapue ushindi kwa nguvu, au siyo!!!

Nadhani ndio lengo maana hata NEC inalazimisha watu wasikae mita 100 za kisheria..

Chadema wamefanikiwa sana kumaintain itulivu kwa kiwango cha juu mbali na majaribu yote kuona kuna virugu kufeli..

Sasa hivi ninavyoandika Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa Karatu Mh Israel Natse, Mbunge Lema, Mgombea Udiwani Kata ya Elerai na viongozi wengine wameshaelekea Central ya Arusha kuaddress hili swala oficially
 
Hongera sana Mkuu kwa kuwa mstari wa mbele kuhakikisha haki inatendeka. Huyu gaidi Mwigulu ni mtu hatari sana ambaye anaweza kusababisha machafuko na umwagaji mkubwa sana nchini.

Tuko njiani kwenda polisi kwenda kutoa taarifa hizi. Tuko na wabunge Natse na Lema, tuko kama 300.
 
Mboyoyo tuu hizi ....kesho jioni CCM chali.CCM tumuchoka kusikia mabaya yenu.
 
Wakuu,

Muda huu ccm wanagawa kombat za chadema kwa Green Guards usiku huu.
Lengo ni kwamba ili Green Guards wazivae kesho kana kwamba ni vijana wa chadema ndiyo wamevaa wanafanya vurugu wakati wa upigaji kura.

Muda huu makamanda wa chadema wameenda polisi kuiripotia hili tukio polisi, na kama polisi hawataweza kuwazuia ccm kugawa kombat za chadema, wawape kibali chadema kuzuia wenyewe.


Nawasilisha

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Yale yale kama ndivyo basi CCM imeishiwa kisera bado wanahaha na CDM.
 
Back
Top Bottom