CCM wanafanya maandamano Mwanza

Ni CCM wako ibadani.

Watu wenyewe kiduchu, hata aibu hawaoni!

 
Democracy must be built through open societies that share information. When there is information, there is enlightenment. When there is debate, there are solutions. When there is no sharing of power, no rule of law, no accountability, there is abuse, corruption, subjugation and indignation.

Watanzania pambaneni ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm ruksa wao tu kufanya mikutano ya siasa!
Upinzani nooooo

Ova

Hata huko Libya,Algeria na Misri Watawala mafedhuli(kama Viongozi wa CCM) walikuwa wanatamba hivi hivi lakini siku ya siku ilipofika ikawa ni zamu ya Wananchi kusema CCM NOOOO na ukawa ndiyo mwisho wa Watawala na Madikteta Uchwara!!! The day is coming n' Freedom will be coming tomorrow surely!!

Hivi kuna mtu alikuwa akijua kuwa Maboers(Makaburu) wa South Africa wangelifikia mahali pa ku give up na kumwachia Baba wa Taifa Nelson Honlahlah Mandela ili aongoze nchi yake na Watu wake waliompenda sana?? Vitabu vitakatifu vinasema KILA JAMBO LINA WAKTI WAKE.

Wakti ukifika huwezi kuyazuia mabadiliko hata ikiwa ni kwa Mabomu na Vifaru. Watu wakiungana pamoja dhidi ya Uonevu na kupaza sauti zao kwa pamoja inakuwa ni SAUTI YA MUNGU na hakuna atakayezuia. CCM na Magufli lazima wasome alama za nyakati na wajue methali inayosema, ''MWEZAKO AKINYOLEWA WEE ANZA KUTIA MAJI'' maana your turn will be soon after.Muda bado lakini uko karibu.
 
Nimecheka kama vile ni mazuri!
Kwahiyo ni watu tu imetokea wakajikuta pamoja halafu wamevaa nguo za njano na kijani wanakimbia tu barabarani wakishangilia?
kwani maandamano ni nini?

Halafu waite wabaguzi uone cha moto
 

tamuuuuu,
Well said ma brother. Tanzanians must wake up now!!!
Let this be a wake up call to all true sons and daughters of Tanzania to come forward and rebuke this barbaric ruling, reign of terror and multiparty segregation and discriminating acts. South Africans begun a struggle simply like this during APARTHEID POLICY UNDER THE BOERS. Today South Africa is free!!!!!
 
Halafu unajiita Dr, nadhani wewe ni Dr mavi, ubongo wako una mavi, stupid kweli wewe.
Wangekuwa Chadema wanakimbia barabarani na Sare zao Kama unavyotaka wajinga wenzako waamini nadhani hadi sasa wangekuwa mortuary wote.
 
Ni CCM wako ibadani.

Watu wenyewe kiduchu, hata aibu hawaoni!

Bila shaka itakuwa ni ibada ya mapepo kutoka kuzimu. Watu wa Mungu mara nyingi ni waungwana sana na katu hawawezi kutekeleza hii mipango ovu na ya kishetani kama wanavofanya CCMi!!!
 
Wapinzani wanateswa sana.
 
Nimecheka kama vile ni mazuri!
Kwahiyo ni watu tu imetokea wakajikuta pamoja halafu wamevaa nguo za njano na kijani wanakimbia tu barabarani wakishangilia?
kwani maandamano ni nini?

Paul Alex,
Kwa utawala huu wa kidikteta na kibaguzi wa JPM, neno maandamano ni UCHOCHEZI AU UHAINI NA NI PALE TU WAPINZANI WANAPOKUSANYIKA PAMOJA NA KUANZA KUTEMBEA PAMOJA KUELEKEA POPOTE IWE OFISINI KWAO AU BARABARANI!!! Lakini kwa CCM kuna tafsiri tofauti ambayo ni kinyume cha hapo juu kama ilivo onekana huko Mwanzo mchana wa leo!!!!
 
Hivi CCM imefilisika kisiasa kiasi hiki?
 
hii nchi haina standard - tunaenda tu kwa kudra za Mwenyezi Mungu.
 
wasukum msipotajirika awamu hii, mtaula wa chuya
 
Acha uongo mtoa mada. Hao wanatoka kwenye vikao vyao vya ndani.
 
Hivi unajua kwamba Dr. Mashinji, Katibu Mkuu Chadema, amefunguliwa mashitaka kwa kudhaniwa kufanya maandamano, idadi ya waliompokea wala si kama hao hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…