CCM wanadharau sana waadhubuni October /2015

CCM wanadharau sana waadhubuni October /2015

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
8,873
Reaction score
1,919
Ndugu yangu wewe umesahau dharau za CCM ghafla ? Wanatumia uwingi wao kuteletea maamuzi yao. Yaani wakisha amua hata sisi tuseme vipi mtaani CCM watafanya .Kumbuka haya na Muhusika

1. Sheria ya mtandao imekuja kwa uoga wao kuelekea uchaguzi mkuu kuwakomoa wasema ukweli . Makamba hatakiwi kupona . UKAWA na wananchi hangaikeni naye hadi apoteze Ubunge ndiyo atajua ubaya wa alicho kisimamia.

2. Gharama za simu kuwa juu wakati kwingine zinashuka pamoja na mkongo wa Taifa kuwa tayari . Kupiga simu toka nje ya Nchi kuja Tanzania it is over 20 euro cents per minute wakati Kenya ni 4 euro cents.

3.Escrow imepindwa sasa ni halali

4.Katiba yetu hadi sasa ni kizungumkuti tulisema lakini wao wakakataa .

On a serious note ndiyo muda wa kuhangaika na CCM . Wakataeni huko mitaani kwenu . Kataa kila mgombea wa CCM kwa kasi kuwa maana ndiyo sehemu pekee tunaweza kusema . Najua kua wizi wa Kura nk lakini tukiwakataa kwa wingi watashindwa na hivyo CCM itakaa pembeni .

Wanasema sheria irudi Bungeni kurekebishwa itakuwa ni kumchosha Lissu maana watasema ndiyooooooooooo kama kawaida yao hata bila ya kusoma na tunarudi pale pale .

Waadhibuni Oktoba ndiyo njia pekee .
 
Hatutaki Ccm!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Waondoe matambala yao waliyoning'iniza mitaani yanaleta nuksi!. Hatuwatakiiiiiiiiiiii Ccm!.
 
This year they must goooo! No way out. Serious awareness is underway to ensure every citizen is well informed about these dirty business ya ccm.
 
Tatizo la upinzani wa Tanzania hakuna concrete issue za kuwaambia wapiga kura wa kawaida wakaelewa.unamueleza mpiga kura mwenye njaa kuhusu sheria ya mtandao atakuelewa kweli? Au unamueleza mabilioni ya escrow hadi analewa wakati hajawahi kushika laki.kwa siasa hizi bado upinzani una kazi kubwa
 
Tatizo la upinzani wa Tanzania hakuna concrete issue za kuwaambia wapiga kura wa kawaida wakaelewa.unamueleza mpiga kura mwenye njaa kuhusu sheria ya mtandao atakuelewa kweli? Au unamueleza mabilioni ya escrow hadi analewa wakati hajawahi kushika laki.kwa siasa hizi bado upinzani una kazi kubwa

Kama una namna njema ya kuwapa ujumbe hao wapiga kura wenye njaa zaidi ya viongozi wa majukwaani chukua jukumu fanya maana mateso na kazi ya ukombozi siyo ya wapinzani kama unavyo onyesha . Do your part wa mazingira uliyopo .
 
We unafikiri mtandao unaujua ww tu,na kwa mawazo yako unafikiri kijijini huwa awauzi hata mbuzi 3 za elfu 50 kwa hiyo elimu yako hunazani hawauzagi hata ng'ombe kwa hiyo kijijini laki wanashika sana na lazima waelezwe fedha za escrow
 
We unafikiri mtandao unaujua ww tu,na kwa mawazo yako unafikiri kijijini huwa awauzi hata mbuzi 3 za elfu 50 kwa hiyo elimu yako hunazani hawauzagi hata ng'ombe kwa hiyo kijijini laki wanashika sana na lazima waelezwe fedha za escrow

Jamaa uelewa wake ni limited bro mwache huyo .Kijijini ma dogo wanapiga pesa mbaya labda huko kwao ndiyo bado na huenda huwa haendi . Kwanza vijijini watu wajanja sana .
 
ndugu yangu wewe umesahau dharau za ccm ghafla ? Wanatumia uwingi wao kuteletea maamuzi yao. Yaani wakisha amua hata sisi tuseme vipi mtaani ccm watafanya .kumbuka haya na muhusika

1. Sheria ya mtandao imekuja kwa uoga wao kuelekea uchaguzi mkuu kuwakomoa wasema ukweli . Makamba hatakiwi kupona . Ukawa na wananchi hangaikeni naye hadi apoteze ubunge ndiyo atajua ubaya wa alicho kisimamia.

2. Gharama za simu kuwa juu wakati kwingine zinashuka pamoja na mkongo wa taifa kuwa tayari . Kupiga simu toka nje ya nchi kuja tanzania it is over 20 euro cents per minute wakati kenya ni 4 euro cents.

3.escrow imepindwa sasa ni halali

4.katiba yetu hadi sasa ni kizungumkuti tulisema lakini wao wakakataa .

On a serious note ndiyo muda wa kuhangaika na ccm . Wakataeni huko mitaani kwenu . Kataa kila mgombea wa ccm kwa kasi kuwa maana ndiyo sehemu pekee tunaweza kusema . Najua kua wizi wa kura nk lakini tukiwakataa kwa wingi watashindwa na hivyo ccm itakaa pembeni .

Wanasema sheria irudi bungeni kurekebishwa itakuwa ni kumchosha lissu maana watasema ndiyooooooooooo kama kawaida yao hata bila ya kusoma na tunarudi pale pale .

Waadhibuni oktoba ndiyo njia pekee .

wadau nina swali! Kwanini watu waogope sheria ya mitandao kama nia yao nikutenda mema tu? Mana kama mtu yuko safi hatakiwi kuwa na hofu mana atafuata sheria nasio tofauti.nawasilisha
 
Kama una namna njema ya kuwaa ujumbe hao wapiga kura wenye njaa zaidi ya viongozi wa majukwaani chukua jukumu fanya maana mateso na kazi ya ukombozi siyo ya wapinzani kama unavyo onyesha . Do your part wa mazingira uliyopo .
Lunyungu,tunapambana mkuu lakini kazi inakua ngumu upinzani haupo makini,posho wanachukua,na sasa wanataka ongezeko la kiinua mgongo asilimia 230 sasa tutasema tuna upinzani au waganga njaa tu
 
Back
Top Bottom