CCM wametushika pabaya

Mkuu The Tomorrow People" labda kama umetumwa, lakini kama ni akili yako,basi jifikirishe kidogo then utajitambua tu.
 
POROJO NA UMBEA peleka huko ccm
KURA LETA KWA LOWASA .
 
Jamani sasa si mfunguke tuu kuwa October 25 kura kwa Nani Kati ya hayo majembe mawili?
 
Hapo jembe ni Magufuli tu
 
El ataishia kualikwa ikulu kwenda kula tende na pilau kipindi cha Iddi na Xmas
 
Ata angejilikisha tan mzania yote ukwa daima lowasa hadi ikulu
 

Rais anapigiwa saluti na mwanajeshi!! Unachakusema???
 
Akikujibu unisaidie kumuuliza, aliposhindwa mara ya kwanza hayo makabila yalikuwa likizo au yalikuwa hayajazaliwa??

Babu unaniangusha!kwani mara ya kwanza aliunganisha nguvu za KKK?
HA HA HA Nashangaa kuona wakongwe kama wewe mmepoteza focus lakini sishangai sana kwani Asprin ni dawa ya kizamani mno!

Kwa heshima uliyonayo kwa mabinti wa JF sintokuita lofa nitakuita lordlofa!
 

Kanawe miguu ulale
 
Ukawa nao wakianza kuweka mambo ya watu wazi watakimbia nchi.
 
kumbe yussufu rajabu makamba anayajua mashamba hayo halafu hasemi yako wapi na hakusema siku zote..kumbeyussufu rajabu makamba amegeuka mke wa lowassa kujua kuwa hakerwi na msikini bali anakerwa na umasikini wake.....kumbe yussufu rajabu makamba anajua mashamba ya sumaye siku zote na asiseme mpaka leo...kumbe yussufu rajabu makamba luteni mstaafu alikuwa kotamasta wa kujua wapiganaji wa vita ya kagera....alete mengine nasi tufungue yetu yale ya kumfanyia mipango mtoto wake afanye kazi ikulu
 
Ukawa nao wakianza kuweka mambo ya watu wazi watakimbia nchi.

Ukawa walianza zamani na hoja hii ya ufisadi kwa data za kuokoteza sasa ccm wameishika mnakomaje!
 

Umekosea kidogo, Asprin haijawahi kuwa dawa. Dawa ni Aspirin.

Usijali, baada ya oktoba ubishi utaisha tutaurudisha undugu wetu. Badala ya kuniita Lofa utaniita kaka.

Pamoja sana.
 

Vilevile atwambie jinsi alivyomsaidia februali kurudia shule pale garanosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…