CCM wametushika pabaya

Matumizi za sisiem yana direct or indirect relation na ya serikali mwaka huu naona wamejitoa mhanga matangazo kwenye redio na tv mwaka huu yamekithiri kisa wasiwasi. Kama mwananchi nafikiri mwakani kama bahati mbaya wakapita wataludisha hadi kodi za baiskeli. Mwananchi uwe makini.
 
Hilo nalo neno.

Queen Esther

 

Ccm hakuna kiongoz masikin wote ni matajiri wa kutupwa, watuambie kwaza wao wamepata wapi hzo mali, wengine sasa ni mabilionea kwa mda wa miaka 10 tu..
 

Mkuu vipi na yale makombora ya Epa, Escrow, Twiga kupanda ndege,wizi wa mitihan kwa January, Mabehewa feki, ATC, madawa ya kulevya,barabara kupunguzwa upana,
Nayo ameyalipua
 

Kwahiyo ukiwa ccm yote hayo ya Lowassa na Sumaye sawa kabisa, lakini pale unapohama tu yanageuka dhambi???
 

Mkuu wewe ni Zuzu,yaani hujui kama Ardhi yote ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ipo chini ya rais?
 
Mimi na Lowassa Mimi na UKAWA, MUNGU anijaalie nifike October niitendee haki kura yangu kwa Lowassa na UKAWA.
 

Aliondoka mwenyewe baada ya ndoto za kwenda ikulu kufifia ndani ya chama. Km mambo ni haya kwakweli lowasa hafai kuwa rais
 
Hahahahaha kweli ccm mmekata Tamaa duh, badala ya kusambaza Sera zenu watu wazijue mnaconcetrate na lowassa. Wanasema hivi>>>>>>ukitaka kujua mtu kakosa hoja mwangalie vizuri lazima ataanzisha personal attacks. Ccm you guys are dead na October ndo mazishi yenu
 
Ukiwa wana tabu sana ...yaani kabla hawajasafisha vurumai la Dr Slaa ...Mzee makamba anaongezea taharuki.
 
Mwaka 2013 nilikuwa Kenya
Mengi yalisemwa ikiwepo
Unamiliki Aridhi nyingi sana uliipataje......
Umeua watu
Una hela nyingi
Ila mwisho wa siku ni huyo huyo muuaji, mwizi, tapeli ndio Raisi wao na maendeleo yanaonekana sasa tofauti na mwanzo
 
Ukiwa wana tabu sana ...yaani kabla hawajasafisha vurumai la Dr Slaa ...Mzee makamba anaongezea taharuki.

Mzee makamba yupi yule mdini... mwambie akatengeneze mbinu nyingine za kumtafutia mtoto wake uwazini..2015 ni Ukawa tu
 
poleni ccmmtahangaika sana lowasa huyooo ikulu watanzania tumeamua kumpeleka ikulu lowasa
 
mtoa mada wewe ndio umeshikwa pabaya sio sisi ukawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…