CCM wametushika pabaya

CCM wametushika pabaya

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,690
Reaction score
2,853
Wakuu,
Siku zinavyoenda ndivyo CCM inavyotoa makombora yake (unleash new weapons)... Cha kushangaza UKAWA wanasema "tupuuze" ila kimsingi hizi dozi zinazo tolewa hazivumiliki.

Leo Makamba kamwaga mboga...kumbe Lowassa alikatwa 1995 baada ya kukutwa na Mali zisizo elezeka!!

Kumbe Lowassa ana mashamba makubwa.. Kuyakagua hadi upande helicopter!!

Kumbe Lowassa hakupigana vita ya iddi amini!!

Kumbe dada yake Lowassa kachukua tenda zote za halmashauri ya Monduli!!

Kumbe Lowassa hakerwi na masikini ana kerwa na umasikini wake!!

Kumbe Sumaye ni kabaila, anamashamba mengi mkoloni wa kingereza.!!

Na bado Makamba, kasema kaacha akiba. Najua akiba ataenda kuimalizia Tanga.

Kiukweli haya makombora ni mazito na kiukweli ukawa kwa sasa tumeshikwa pabaya.

Tujipange tena 2020, kwa sasa magufuli kesha fika ikulu.... Naona mkuu wa nchi naye yuko naye bega kwa bega anazidi kuumpa nondo Magufuli.
 
Hahahahahahaah. mimi nampa kura yangu tu. hamna shida
 
Hamna kitu pale kwanza wananchi walikua wamepooza kishenzi
 
Labda wamekushika wewe. Wenzio tunasongaga mbele mwanawane!
 
CCM hamna jipya! Ni porojo zilezile miaka nenda rudi. Safari hii kura zote kwa Lowassa.
 
Wao wanamiliki nini?
Wamenunua hayo mashamba au wamepora?
Je hawaruhusiwi kuwa navyo?
 
Kaa pembeni wewe na hoja zako mfu.Mbona nyie Ni wazuri kwenye uelewa?Sera zenu zipi zaidi ya Miaka 50 ya kutufanya malofa.Mbona Lowasa alikuwa huko huko na mlikaa kimya?Mabadiliko hayaepukiki.Anzeni kujiandaa kisaikolojia.
 
Safari hii mtajua kuwa mitandao mnaoitumia ki propaganda haifai kabisa. Watu wameamua kuwa na Rais muadilifu. Halafu pamoja na shtuka zao na mikakati ya kupinga kuweka Rais msafi watasoma namba tu. Tunasema wirhin the first 5years tutakuwa kwenye uchumi wa kati.
Wamehodhi maeneo mengi mno. Haya yaliyotajwa ni kidogo mno.
CCM mbele kwa mbele....mtaisoma namba
 
The Tomorrow People huyu jamaa katika thread movie yake yan yy ndo actor,director,editor,camera man,make up art,screen ply, boom swinger,music composer,light man,starg na adui ,na buyer ni yy pia hv unataka kutuaminisha kuwa lowasa alimwandikia makamba barua mwaka 1995 wkt kpnd hiko makamba alikuwa mkuu wa wilaya ni nani asiyejua sifa ya makamba ni kuropoka huyu makamba ndo alifanya kikwete kutoka 80%+ mpaka 60%- hani hapo pamoja na kwa msaada wa TISS, SHIMBO, ndo kapata 60%
 
Last edited by a moderator:
Sawa. Ila hilo ni kosa kubwa sana. Km huyo Lowasa ana mambo yote hayo kwa nini hamkumshitaki? Kwa nini hamkumnyanganya? Au akiwa mwenzenu mnakaa kimya akitoka ndio mnasema? Hii ina maana wanaccm wengi wana madhambi lakini kwa kuwa wapo ndani mbawafichia? Nini kiliwazuia siku zote kuraifisha mali zao ambazo mbasema hazina maelezo? Kwa nini mkae na mtu mvhafu mpaka aondoke mwenyewe ndio muanze kumsema?
 
Ilani ya uchaguzi ya ccm ipo kwenye makombora ya lowasa
 
Ukawa wakihit back ccm mtakuwa mmekwisha. Hawa watu mnaowasema sasa mlikuwa nao siku zote hatujasikia mkisema haya. Leo kahama kwenu ndio mbasema? Ukawa point hizo. Naamini kuna mtu anafuatilia madhaifuvya hoja za ccm ili kuwalipua maana yake wanajionesha jinsi walivyo serikali dhaifu!
 
Wewe tangu lini uko ukawa???.... acha umbulula wako eti unajivalisha gozi la ukawa???? we gamba nishakusoma siku kadhaa zilizopita....hadanganyiki mtu hapa.... Lowassa mpango mzima'......
 
Back
Top Bottom