Josephine03
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 752
- 302
hakuna haja wao wakitoa vipande vpande vya u edit, dawa yake wewe toa nzima kama ilivyo utakuwa umeumbua kesho hawatarudia tena dawa ya freedom of speech is more freedom of speech ili watu wapate picha ya uhakika.
Hivi hii serikali ya CCM haina mambo ya kufanya zaidi ya kudeal na CHADEMA!!!!!!
wewe ushaiona hiyo video? kama hujaiona;
1. umejua je kwamba kweli ipo?
2. umejua je kwamba si ya kweli?
3. wewe unakana kwamba si ya kweli ukiwa kama nani?
4. je? wewe ni miongoni mwa wanao onekana kwenye video hiyo?
kama umeiona; umeiona wapi nasi tukaiangalie?
wewe ni josephine! Dada shikamoo? mzee hajambo.kama umenijua ni jambo jema maana kujuana ni jambo jemaYaani hapa ndo nimekupata kiuwazi kabisa. Siku zote walikuwa wakisema wanakujua wewe nani nikawa nawashangaa wanaujuaje mwandiko wako? Sasa kwanini unafanya kazi za CCM ukiwa CDM kaka mkubwa?
Kova!!!!!!!!!!!When i see this man or hear him i feel nauseated?one wonders how he got there!'pathetic comedian'!!!!!!!!!!!!!!Wanaweza kutunga movie ila lazima kuna sehemu nyingi movie itakataa Na wananchi watajua Ukweli.
Huoni movie ya Kova ilivyododa!
Na wewe ni swal gani ilo sasa?embu tujadili ilo bwana
hebu iweke video yote tufaidi mkuu
that's very possible! i have the same feeling that kuna mchezo mchafu sana unapangwa ndani ya ccm kutoa pigo moja takatifu la kuichafua cdm. its a strange feeling... i think u may be right!
Najua wapenda maendeleo wote tunajua ubaya wa CCM na viongozi wake,sasa wamepanga kuleta video inaonesha viongozi wa CHADEMA wakipanga kufanya fujo kama alivosema Mwigulu,si kwamba video hyo itakua na ukwel hapana ila kuna teknolojia itatmika ya editing na itarushwa katika vyombo vya habar na itasambazwa,narudia si video ya kweli ila ujanja wa hali ya juu umetumika ili kuwaaminisha watanzania.na weng wataamini..najua hili litatolewa ufafanuzi zaidi na wataalamu wa software zinazohusika.ila makamanda jiandaeni kwa hli
Take that

Mwigulu amerudia mara kadhaa kuwa anayo video aka mkanda unaoonyesha viongozi wa chadema wakipanga mauaji, so haitakuwa jambo la ajabu tukionyeshwa