Najua wapenda maendeleo wote tunajua ubaya wa ccm na viongozi wake,sasa wamepanga kuleta video inaonesha viongozi wa chadema wakipanga kufanya fujo kama alivosema mwigulu,si kwamba video hyo itakua na ukwel hapana ila kuna teknolojia itatmika ya editing na itarushwa katika vyombo vya habar na itasambazwa,narudia si video ya kweli ila ujanja wa hali ya juu umetumika ili kuwaaminisha watanzania.na weng wataamini..najua hili litatolewa ufafanuzi zaidi na wataalamu wa software zinazohusika.ila makamanda jiandaeni kwa hli
Take that
Na wao wajiandae kushitakiwa naomba CDM kama litatokea hili tusilivumilie tuchukue hatua stahili ili iwe fundisho kwa atakaye fanya kitu hicho kuanzia msambazaji na vituo vitakavyoonyesha.
hakuna haja wao wakitoa vipande vpande vya u edit, dawa yake wewe toa nzima kama ilivyo utakuwa umeumbua kesho hawatarudia tena dawa ya freedom of speech is more freedom of speech ili watu wapate picha ya uhakika.
Watanzania hawadanganywi tena na wezi na mafisadi ambao wanatumia vibaya Mali za wananchi kupambana na watetezi wa wanyonge, hawalali usiku kucha wanapanga uzushi na uongo wa kuwadanganya watanzania badala ya kushughulikia kero zinazowatesa wananchi. Mwisho wenu umefika hamuwezi kushinda nguvu ya umma kwa kelele kama za mwigulu.

Najua wapenda maendeleo
wote tunajua ubaya wa ccm na viongozi wake,sasa wamepanga kuleta video
inaonesha viongozi wa chadema wakipanga kufanya fujo kama alivosema
mwigulu,si kwamba video hyo itakua na ukwel hapana ila kuna teknolojia
itatmika ya editing na itarushwa katika vyombo vya habar na
itasambazwa,narudia si video ya kweli ila ujanja wa hali ya juu
umetumika ili kuwaaminisha watanzania.na weng wataamini..najua hili
litatolewa ufafanuzi zaidi na wataalamu wa software zinazohusika.ila
makamanda jiandaeni kwa hli
Take that