Kuna tofauti kati ya Nchi, Serikali na Chama cha Siasa. Nikurejeshe wewe na wenye mawazo kama yako kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT), 1977 na Sheria husika.Sijui kisheria hili limekaaje, lakini nanusa conflict of interest. Ingawaje ccm ipo pande mbili, kitakiba, Zanzibar na Tanganyika ni nchi mbili tofauti..inawakuwaje Raisi wa Tanganyika (ingawaje pia ni wa muungano) kusimamia mambo ya Nchi ya zanzibar ili hali Raisi wa Zanzibar amejikalia tu kama kibogoyo... mambo gani haya? Tanganyika ni kweli wanathamini muungano, lakini hili la kusimamia uchaguzi wa ccm ya zanzibar, nchi ya zanzibar, serikali ya wazanzibar na uraisi wa zanzibar, tafadhari waacheni wapumue kwa kweli.. mumewakalia sana kooni sana..
Asante kwa kuelewesha, lakini kuna utata kidogo, tafadhari tusaidie, katiba ya Zanzibar inasemaje ndugu kuhusu vipengele vya:Kuna tofauti kati ya Nchi, Serikali na Chama cha Siasa. Nikurejeshe wewe na wenye mawazo kama yako kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT), 1977 na Sheria husika.
Ibara1: Tanzania ni nchi moja na ni Jamhuri ya Muungano.
Ibara ya 3(1) Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa, yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa.
Ibara ya 4(1) Shughuli zote za Mamlaka ya Nchi katika Jamhuri ya Muungano zitatekelezwa na kudhibitiwa na vyombo viwili vyenye mamlaka ya utendaji, ...
(2) Vyombo vyenye mamlaka ya utendaji vitakuwa ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ...
Ibara ya 33(1) Kutakuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano
Ibara ya 39(1) Mtu hatastahili kuchaguliwa kushika kiti cha Rais wa
Jamhuri ya Muungano isipokuwa tu kama:
(c) ni mwanachama, na mgombea aliyependekezwa na chama cha siasa;
Ibara ya 103(1) Kutakuwa na Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ambaye ndiye atakuwa Rais wa Zanzibar na Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na vile vile Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar.
Sheria Ya Uchaguzi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (Na 4, 2018), Ibara ya 43 Kwa kuzingatia masharti ya Katiba, mtu atakuwa na sifa ya kuteuliwa kuwa Mgombea wa Urais iwapo:
(d) ni mwanachama na mgombea aliyependekezwa na chama cha siasa ambacho kimesajiliwa kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa.
Mzee umeandika kitu gani hiki? Vipi mgombea wa urais bara kapatikana vipi?
Uchaguzi ndani ya CCM leo hii umeonyesha jinsi chama hicho kikongwe kilivyo bora katika kufanya shughuli zake pale walipomchagua mgombea wa Urais wa Zanzibar Dodoma leo hii.
Mwniyi ndiye atakiwakilisha chama chake mwaka huu. Je, vyama vya upinzani wanaweza kujifunza lolote? Je, CCM walipanga mbinu hii ili kuwahadaa upinzani?
Kwahiyo Magufuli hakumtaka Mbarawa kama mlivyoaminishwa na yule taahira wenu kule twiter?Demokrasia au udikteta kamili?
Hakuna kumpingaagufuli na aliyejaribu amekiona cha mtema kuni....
Mzee mwinyi alisema anatamani magufuli atawale milele kwa hiyo huo uteuzi wa mgombea wa Zanzibar ni kiini macho tu bali uhalisia ni kua magufuli alifurahia sn kauli ile ya mzee so hiyo ni hisani na mkakati wa kudumu kwa ajili ya nia ovu
Sasa wewe unaongelea kukiukwa sheria au unaongelea nini?Kuna tofauti kati ya Nchi, Serikali na Chama cha Siasa. Nikurejeshe wewe na wenye mawazo kama yako kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT), 1977 na Sheria husika.
Ibara1: Tanzania ni nchi moja na ni Jamhuri ya Muungano.
Ibara ya 3(1) Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa, yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa.
Ibara ya 4(1) Shughuli zote za Mamlaka ya Nchi katika Jamhuri ya Muungano zitatekelezwa na kudhibitiwa na vyombo viwili vyenye mamlaka ya utendaji, ...
(2) Vyombo vyenye mamlaka ya utendaji vitakuwa ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ...
Ibara ya 33(1) Kutakuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano
Ibara ya 39(1) Mtu hatastahili kuchaguliwa kushika kiti cha Rais wa
Jamhuri ya Muungano isipokuwa tu kama:
(c) ni mwanachama, na mgombea aliyependekezwa na chama cha siasa;
Ibara ya 103(1) Kutakuwa na Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ambaye ndiye atakuwa Rais wa Zanzibar na Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na vile vile Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar.
Sheria Ya Uchaguzi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (Na 4, 2018), Ibara ya 43 Kwa kuzingatia masharti ya Katiba, mtu atakuwa na sifa ya kuteuliwa kuwa Mgombea wa Urais iwapo:
(d) ni mwanachama na mgombea aliyependekezwa na chama cha siasa ambacho kimesajiliwa kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa.
HahaaaHizi zimebaki kama zilipendwa mkuu.
Yah .......ndio maana pia amepanga kuvunja katiba ili afanye Mambo yake ya hovyo alafu kajiwekea kinga ya kutoshitakiwa akivunja katiba....Kasoma upepo kulinda maslai ya familia yake
Matahira wapo lumumba pale mbwa wwKwahiyo Magufuli hakumtaka Mbarawa kama mlivyoaminishwa na yule taahira wenu kule twiter?
Kinga ya kutoshtakiwa hamkingi mtu dhidi ya mabaya uwatendeao wenzake,Kinga sio msahafu ajae anaweza ibadili na ukastakiwa.Karma huwa haizuiliki na chochote,Kinga ni makaratasi.Yah .......ndio maana pia amepanga kuvunja katiba ili afanye Mambo yake ya hovyo alafu kajiwekea kinga ya kutoshitakiwa akivunja katiba....
Mkuu hawa marais wa wili lazima wawe wanaelewana vingenevyo muungano wenyewe utavunjika tuSijui kisheria hili limekaaje, lakini nanusa conflict of interest. Ingawaje ccm ipo pande mbili, kitakiba, Zanzibar na Tanganyika ni nchi mbili tofauti..inawakuwaje Raisi wa Tanganyika (ingawaje pia ni wa muungano) kusimamia mambo ya Nchi ya zanzibar ili hali Raisi wa Zanzibar amejikalia tu kama kibogoyo... mambo gani haya? Tanganyika ni kweli wanathamini muungano, lakini hili la kusimamia uchaguzi wa ccm ya zanzibar, nchi ya zanzibar, serikali ya wazanzibar na uraisi wa zanzibar, tafadhari waacheni wapumue kwa kweli.. mumewakalia sana kooni sana..
ILA JAMANI SARE ZA CCM HAZINA MVUTO KABISA HASA KWA VIJANA. UKIVAA SARE YA CCM HATA KAMA UNA MIAKA 20 UNAONEKANA BABU KABISA. WEWE MWONE JIWE NA WENZAKE WANAVYOONEKANA KUCHOKA.
Uchaguzi ndani ya CCM leo hii umeonyesha jinsi chama hicho kikongwe kilivyo bora katika kufanya shughuli zake pale walipomchagua mgombea wa Urais wa Zanzibar Dodoma leo hii.
Mwniyi ndiye atakiwakilisha chama chake mwaka huu. Je, vyama vya upinzani wanaweza kujifunza lolote? Je, CCM walipanga mbinu hii ili kuwahadaa upinzani?
Crimea rejea maudhui ya bandiko kuu na majadiliano ambapo kunajengwa hoja kuwa Mgombea wa URais wa Serikali ya Mapindizi Zanzibar hapaswi kupendekezwa/kuchaguliwa na Vikao vya juu vya Chama na tena nje ya Zanzibar. Dhana/hoja hii ni potofu, nje ya Katiba ya JMT (1977), kwa Ibara nilizonukuu, na inalenga kupandikiza chuki kati ya WaZanzibari na WaTz bara.Sasa wewe unaongelea kukiukwa sheria au unaongelea nini?
Maana mwenzio kakuletea vipengele vinavyofanya hayo yatokee,
Wewe unaleta habari za kama kule hivi na huku iwe hivi! Hayo ndio yapo kwenye katiba?
Asante kwa kuelewesha, lakini kuna utata kidogo, tafadhari tusaidie, katiba ya Zanzibar inasemaje ndugu kuhusu vipengele vya:
1. Nchi
2. Serikali
3. Chama.
Ibara 1 uliyoitaja: kama Jamhuri ni nchi moja, yanini basi kuwa na Maraisi wawili? Mbona kuna ukimya katika katiba ya muungano wa kusema kwamba wananchi wa tanganyika pia nao wahusike kupiga kura kumchagua kiongozi wa Zanzibar ? Ni hayo- hebu tueleweshe wakwetu...
Umehoji mambo mengi ambayo kimsingi yamekuwa yakihojiwa, na yataendelea kuhojiwa km Zanzibar ni nchi au la, na kuhusu aina ya muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Vifungu vya Katiba ya JMT (1977) na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (Na. 4, 2018), zimeanisha sifa za mtu kuchaguliwa kuwa Rais.
Kwamba Zanzibar ina Katiba yake si jambo la kuzua ubishi kwa sababu Taasisi yoyote yenye viongozi wa uwakilishi, moja ya masharti ya uendeshaji wake ni kuwepo kwa Katiba - naamini unajua maana ya Katiba.
Sure........wacha watambe sn sasa na kufanya kufuru za kila aina lkn sisi tupo tunawela rekodi sawa watalipa kutokana na matendo yao maovuKinga ya kutoshtakiwa hamkingi mtu dhidi ya mabaya uwatendeao wenzake,Kinga sio msahafu ajae anaweza ibadili na ukastakiwa.Karma huwa haizuiliki na chochote,Kinga ni makaratasi.
Japo dhamira yao si njema juu yetu thus wamejiwekea Kinga ili watushugulikie lakini lenye mwanzo Lina mwisho
Changanya na zako....Sasa hayo malipo utafaidika wewe au vilembwe?