barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Una point kwa mbali ila HUJAIELEWA POINT YA ULIYEMWUOTE BILA SHAKA...Sijui kisheria hili limekaaje, lakini nanusa conflict of interest. Ingawaje ccm ipo pande mbili, kitakiba, Zanzibar na Tanganyika ni nchi mbili tofauti..inawakuwaje Raisi wa Tanganyika (ingawaje pia ni wa muungano) kusimamia mambo ya Nchi ya zanzibar ili hali Raisi wa Zanzibar amejikalia tu kama kibogoyo... mambo gani haya? Tanganyika ni kweli wanathamini muungano, lakini hili la kusimamia uchaguzi wa ccm ya zanzibar, nchi ya zanzibar, serikali ya wazanzibar na uraisi wa zanzibar, tafadhari waacheni wapumue kwa kweli.. mumewakalia sana kooni sana..
Demokrasia au udikteta kamili?
Hakuna kumpingaagufuli na aliyejaribu amekiona cha mtema kuni....
Mzee mwinyi alisema anatamani magufuli atawale milele kwa hiyo huo uteuzi wa mgombea wa Zanzibar ni kiini macho tu bali uhalisia ni kua magufuli alifurahia sn kauli ile ya mzee so hiyo ni hisani na mkakati wa kudumu kwa ajili ya nia ovu
Wazanzibar miaka yote huwa wanachaguliwa Rais na sisi watanganyika
Nauliza kwa nini Prof Mbarawa Mnyaa walimtoa mapema? Nilikuwa nadhani ndio angekuwa mshindani wa Dr. Hussein Meinyi au imeakaje hii?
Uchaguzi ndani ya CCM leo hii umeonyesha jinsi chama hicho kikongwe kilivyo bora katika kufanya shughuli zake pale walipomchagua mgombea wa Urais wa Zanzibar Dodoma leo hii.
Mwniyi ndiye atakiwakilisha chama chake mwaka huu. Je, vyama vya upinzani wanaweza kujifunza lolote? Je, CCM walipanga mbinu hii ili kuwahadaa upinzani?
ahaa kumbe mnafatilia mambo mazuri ya CCM.kwahiyo mtaiga eti?Kila mtu alikuwa anajua kuwa mwinyi ndio mgombea ajae, kasoro wewe tu ndio ulikuwa hujui.
Demokrasia ndani ya ccm nje ya ccm ni kuzuia mikutano ya vyama vya upinzani
Uchaguzi ndani ya CCM leo hii umeonyesha jinsi chama hicho kikongwe kilivyo bora katika kufanya shughuli zake pale walipomchagua mgombea wa Urais wa Zanzibar Dodoma leo hii.
Mwniyi ndiye atakiwakilisha chama chake mwaka huu. Je, vyama vya upinzani wanaweza kujifunza lolote? Je, CCM walipanga mbinu hii ili kuwahadaa upinzani?
Kasoma upepo kulinda maslai ya familia yakeSafi sn kacheza karata zake vzr alafu mshamba na limbukeni kaingia kingi....
Imekuwa Mwinyi TENA na si Mbarawa?Kila mtu alikuwa anajua kuwa mwinyi ndio mgombea ajae, kasoro wewe tu ndio ulikuwa hujui.
Kwani wewe ulikuwa unajua mbarawa atapita.kweli bado upo nyuma sana.Imekuwa Mwinyi TENA na si Mbarawa?
Tuige kuprint fomu moja au...ahaa kumbe mnafatilia mambo mazuri ya CCM.kwahiyo mtaiga eti?
haaa,,,we jamaa umenichekesha sana eti kuprint form moja!!.Tuige kuprint fomu moja au...
Basi utakuwa upo mwisho wa dunia.Mwinyi aliandaliwa mapema sana.ndio maana hata yeye hakuwa na wasi wanataka wafanye kama baba yake apige mitano alafu haje huku, halafu huyo mbarawa ashike huko.Uongo mkuu mi nilijua ni Mbarawa
Kumbe hujui chochote 2015 kulikuwa na ukawa.vyama vinavyo unda ukawa ndio viliamua wamsimamishe lowasa kwa tiketi ya chadema.😁😁😁😎😎😎😎😂😂😂😂 kumbe huna hulijualo kazi kupuyanga tuhaaa,,,we jamaa umenichekesha sana eti kuprint form moja!!.
mbona CDM 2015 mliprint form moja ya Edlow tu.
wewe ndo hujui kitu.makubaliano ya ukawa yalikuwa ndani ya vyama wafanye uchaguzi kisha kila chama kitoe mgombea mmoja kisha wagombea washindanishwe achaguliwe mgombea mmoja awakilishe ukawa.Kumbe hujui chochote 2015 kulikuwa na ukawa.vyama vinavyo unda ukawa ndio viliamua wamsimamishe lowasa kwa tiketi ya chadema.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe huna hulijualo kazi kupuyanga tu
Acha ujuha fomu zilitoka ndani ya chadema na wakampitisha lowassa.ila ndani ya ccm mwaka huu fomu ili printiwa moja na mkapiga mkwara kwa yeyote atakae tia nia.wewe ndo hujui kitu.makubaliano ya ukawa yalikuwa ndani ya vyama wafanye uchaguzi kisha kila chama kitoe mgombea mmoja kisha wagombea washindanishwe achaguliwe mgombea mmoja awakilishe ukawa.
Lakini ndani ya cdm Lowasa alipitishwa kwa nguvu pia na mpaka kwenye ukawa akapitishwa kwa nguvu.matokeo yake Lowasa kaacha ukawa imevurugika kawakimbia.mazuzu nyie.
Form ilitoka moja tu ya Lowasa peke yake na ofisi ya ufipa ikapigwa kufuli.Acha ujuha fomu zilitoka ndani ya chadema na wakampitisha lowassa.ila ndani ya ccm kwaka huu fomu ili printiwa moja na mkapiga mkwara kwa yeyote atakae tia nia.
CCM imeonesha kuwa unawezekana, jatika mfumo uliopo, kuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki.Yeah nimependa Mwenyekiti Mgombea kusimamia process nzima yeye mwenyewe
Membe, pamoja na kufukuzwa kwenye chama, anaendelea kuonesha uchanga wake kisiasa kwa kuvunja kanuni za mIsingi ya demokrasia. Moja ya hizo ni kukata rufaa badala ya kunung'unika na kulaumu, kama afanyavyo kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari. Ama anatafuta HURUMA ya jamii au AMEKATA TAMAA.Demokrasia kwa nchi nyingine? Hapa kwao aameshindwaje kuweka viongozi wengine akina Membe akajipima mabavu