Naunga mkono hoja.Uchaguzi ndani ya CCM leo hii umeonyesha jinsi chama hicho kikongwe kilivyo bora katika kufanya shughuli zake pale walipomchagua mgombea wa Urais wa Zanzibar Dodoma leo hii.
Mwniyi ndiye atakiwakilisha chama chake mwaka huu. Je, vyama vya upinzani wanaweza kujifunza lolote? Je, CCM walipanga mbinu hii ili kuwahadaa upinzani?
Naona tu hata Shein amewachoka kabisa.
Uchaguzi ndani ya CCM leo hii umeonyesha jinsi chama hicho kikongwe kilivyo bora katika kufanya shughuli zake pale walipomchagua mgombea wa Urais wa Zanzibar Dodoma leo hii.
Mwniyi ndiye atakiwakilisha chama chake mwaka huu. Je, vyama vya upinzani wanaweza kujifunza lolote? Je, CCM walipanga mbinu hii ili kuwahadaa upinzani?
Yeah nimependa Mwenyekiti Mgombea kusimamia process nzima yeye mwenyewe
Magufuli alishindanishwa na nani ?
Uchaguzi ndani ya CCM leo hii umeonyesha jinsi chama hicho kikongwe kilivyo bora katika kufanya shughuli zake pale walipomchagua mgombea wa Urais wa Zanzibar Dodoma leo hii.
Mwniyi ndiye atakiwakilisha chama chake mwaka huu. Je, vyama vya upinzani wanaweza kujifunza lolote? Je, CCM walipanga mbinu hii ili kuwahadaa upinzani?
Wazanzibar miaka yote huwa wanachaguliwa Rais na sisi watanganyikaSijui kisheria hili limekaaje, lakini nanusa conflict of interest. Ingawaje ccm ipo pande mbili, kitakiba, Zanzibar na Tanganyika ni nchi mbili tofauti..inawakuwaje Raisi wa Tanganyika (ingawaje pia ni wa muungano) kusimamia mambo ya Nchi ya zanzibar ili hali Raisi wa Zanzibar amejikalia tu kama kibogoyo... mambo gani haya? Tanganyika ni kweli wanathamini muungano, lakini hili la kusimamia uchaguzi wa ccm ya zanzibar, nchi ya zanzibar, serikali ya wazanzibar na uraisi wa zanzibar, tafadhari waacheni wapumue kwa kweli.. mumewakalia sana kooni sana..
Mbona tulijua tangu 2016, tofautisha kuchaguliwa na kupitishwa
Uchaguzi ndani ya CCM leo hii umeonyesha jinsi chama hicho kikongwe kilivyo bora katika kufanya shughuli zake pale walipomchagua mgombea wa Urais wa Zanzibar Dodoma leo hii.
Mwniyi ndiye atakiwakilisha chama chake mwaka huu. Je, vyama vya upinzani wanaweza kujifunza lolote? Je, CCM walipanga mbinu hii ili kuwahadaa upinzani?
Uchaguzi ndani ya CCM leo hii umeonyesha jinsi chama hicho kikongwe kilivyo bora katika kufanya shughuli zake pale walipomchagua mgombea wa Urais wa Zanzibar Dodoma leo hii.
Mwniyi ndiye atakiwakilisha chama chake mwaka huu. Je, vyama vya upinzani wanaweza kujifunza lolote? Je, CCM walipanga mbinu hii ili kuwahadaa upinzani?
Uongo mkuu mi nilijua ni MbarawaKila mtu alikuwa anajua kuwa mwinyi ndio mgombea ajae, kasoro wewe tu ndio ulikuwa hujui.
Mzee ni mnufaika akiwa na tegemeo hili la fadhila familia isife njaa.Demokrasia au udikteta kamili?
Hakuna kumpingaagufuli na aliyejaribu amekiona cha mtema kuni....
Mzee mwinyi alisema anatamani magufuli atawale milele kwa hiyo huo uteuzi wa mgombea wa Zanzibar ni kiini macho tu bali uhalisia ni kua magufuli alifurahia sn kauli ile ya mzee so hiyo ni hisani na mkakati wa kudumu kwa ajili ya nia ovu
Safi sn kacheza karata zake vzr alafu mshamba na limbukeni kaingia kingi....Mzee ni mnufaika akiwa na tegemeo hili la fadhila familia isife njaa.
Sijui kisheria hili limekaaje, lakini nanusa conflict of interest. Ingawaje ccm ipo pande mbili, kitakiba, Zanzibar na Tanganyika ni nchi mbili tofauti..inawakuwaje Raisi wa Tanganyika (ingawaje pia ni wa muungano) kusimamia mambo ya Nchi ya zanzibar ili hali Raisi wa Zanzibar amejikalia tu kama kibogoyo... mambo gani haya? Tanganyika ni kweli wanathamini muungano, lakini hili la kusimamia uchaguzi wa ccm ya zanzibar, nchi ya zanzibar, serikali ya wazanzibar na uraisi wa zanzibar, tafadhari waacheni wapumue kwa kweli.. mumewakalia sana kooni sana..