CCM wamechanganyikiwa!

CCM wamechanganyikiwa!

Last emperor

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
10,346
Reaction score
9,881
Kuna kila dalili CCM wamechanganyikiwa, mara wanasema Tume ya uchaguzi inaipendelea ukawa, wanakuja kupiga Kampeni pale ambapo wametoka wenyewe.

Lakini kubwa zaidi ni hii ya kukosa ubunifu na kuanza kutumia slogan ya mabadiliko, wanasema magufuli ni mabadiliko na mabadiliko ni Magufuli!! Ama!!

Hii slogan si ilianzishwa na mbowe wakati mgombea wa uraisi wa CHADEMA Edward Lowassa alipokuwa anaongea na kina mama. Tena akawafundisha na namna ya kujibu kwa vitendo?!

Kwa hali hii inaonyesha wazi kuwa CCM wamekosa sera na ubunifu. Na mwaka huu wataenda kushindwa vibaya kwenye uchaguzi.
 
Hata mimi nimeshangaa kuona mwaka huu CCM ndiyo anakuwa mlalamikaji kwa NEC kupanga njama na CHADEMA. Bado sasa kwenye utangazaji wa matokeo, siji CCM watataka yatangazweje!
 
Muungano wa Tanzania wanaonekana kuchuana vikali, Edward Lowassa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimeibua mgongano.

Hali hiyo imelalamikiwa na CCM ambayo imeitupia lawama Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kwamba imeshirikiana na Chadema kupanga njama hizo.

Kufuatia hali hiyo, jana Nec iliingilia kati na kuitisha kikao cha kupitia upya ratiba za kampeni za vyama.

Kampeni za vyama ambavyo vinashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu unaotarajia kufanyika Oktoba 25, zilianza rasmi Agosti 22, mwaka huu baada ya Nec kufanya uteuzi wa wagombea.

Kwa mujibu wa taratibu na sheria, kabla ya kampeni kuanza vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi hutakiwa kuwasilisha ratiba zao Nec na baadaye tume hiyo hupanga ratiba ya nchi nzima kujumuisha vyama vyote.

Hata hivyo, kampeni za wagombea wa vyama hivyo mikoani zinaonyesha kuwa wamekuwa wakifuatiliana hususani Lowassa kwenda maeneo ambayo Magufuli anatoka kujinadi kwa wapigakura........

CHANZO: NIPASHE

Kwa hiyo NEC kila kinachosemwa na CCM wao lazima wakipe kipau mbele kikisemwa na Ukawa hayawahusu Lubuva better be careful
 
Nikisema ukawa nitakosea maana neno ukawa tume ya uchaguzi hawalitambui kabsa
labda niseme hivi chadema ndo wapo kwenye gunia hawajitambui hata kidogo
 
yaani ccm usingizi wa pono wamepoteza matumaini wamesambaa nchi nzima lakini wanapewa za uso na wananchi mwaka huu jua limewawakia
 
Hata January Makamba nimeona hii ya Mabadiliko na kuzungusha mikono imemwewewesesha sana. Hadi anairudia kwenye mkutano wake leo baada ya kupigwa shindano ya MABADILIKO pale uwanja wa taifa
 
Tena nimeshnngaa sana kuna hilo Leo huko Bumbuli...

January Makamba anawashangaza watu... eti MABADILIKO MAGUFULI, MAGUFULI MABADILIKOOO...

KWELI CCM kwishaaaaaa...
 
Kuna kila dalili ccm wamechanganyikiwa, mara wanasema Tume ya uchaguzi inaipendelea ukawa, wanakuja kupiga Kampeni pale ambapo wametoka wenyewe. Lakini kubwa zaidi ni hii ya kukosa ubunifu na kuanza kutumia slogan ya mabadiliko, wanasema magufuli ni mabadiliko na mabadiliko ni magufuli!! Ama!! Hii slogan si ilianzishwa na mbowe wakati mgombea wa uraisi wa chadema Edward Lowassa alipokuwa anaongea na kina mama. Tena akawafundisha na namna ya kujibu kwa vitendo?! Kwa hali hii inaonyesha wazi kuwa ccm wamekosa sera na ubunifu. Na mwaka huu wataenda kushindwa vibaya kwenye uchaguzi.

Na leo Magufuli anazungumzia kubadilisha mfumo wa serikali na kuleta uwajibikaji na utendaji wa serikali na hali hiki ndio kipaumbele namba moja cha ilani ya chadema/UKAWA. Copy and paste.
 
Ewe mwananchi mtanzania, mpiga kura zinduka....

Kama ccm ni ile ile na wembe wao ni ule ule je hapo kuna mabadiliko kweli....??
Au ndo maana Magufuli ameamua kujinadi kwa stahili ya "mgombea binafsi"; ameshaona kuitaja taja ccm anakosa ufuasi...!!

Aaahaaahhaaa.... Eti Mabadilikoooo Magufuli; Magufuli Mabadilikoooo..... cheka sana miye...
 
Kuna kila dalili ccm wamechanganyikiwa, mara wanasema Tume ya uchaguzi inaipendelea ukawa, wanakuja kupiga Kampeni pale ambapo wametoka wenyewe. Lakini kubwa zaidi ni hii ya kukosa ubunifu na kuanza kutumia slogan ya mabadiliko, wanasema magufuli ni mabadiliko na mabadiliko ni magufuli!! Ama!! Hii slogan si ilianzishwa na mbowe wakati mgombea wa uraisi wa chadema Edward Lowassa alipokuwa anaongea na kina mama. Tena akawafundisha na namna ya kujibu kwa vitendo?! Kwa hali hii inaonyesha wazi kuwa ccm wamekosa sera na ubunifu. Na mwaka huu wataenda kushindwa vibaya kwenye uchaguzi.

Hao ni team Lowasa waliobaki ccm wanamfanyia kampeni .cha ajabu wakati wanaanza kuiga staili hiyo.nimemsikia January makamba huko bumbuli anawaambia wagosi wenzake akija Lowasa wasikubali kufanya ishara ya mabadiliko ni uchawi wanalogwa iliwamchague Lowasa .hakika ccm wamechanganyikiwa mpaka January wa kizazi kipya anaaminisha watu ushirikina.Maanake nini kama sio uoga uliopitiliza.anyway nasubiria kuona Lowasa akienda itakuwaje
 
enz za kinjikitile ngwale zmerudi tena ukipigwa risasi sema maji haufi
majiiiiiii na unakufa
 
Kuna kila dalili ccm wamechanganyikiwa, mara wanasema Tume ya uchaguzi inaipendelea ukawa, wanakuja kupiga Kampeni pale ambapo wametoka wenyewe. Lakini kubwa zaidi ni hii ya kukosa ubunifu na kuanza kutumia slogan ya mabadiliko, wanasema magufuli ni mabadiliko na mabadiliko ni magufuli!! Ama!! Hii slogan si ilianzishwa na mbowe wakati mgombea wa uraisi wa chadema Edward Lowassa alipokuwa anaongea na kina mama. Tena akawafundisha na namna ya kujibu kwa vitendo?! Kwa hali hii inaonyesha wazi kuwa ccm wamekosa sera na ubunifu. Na mwaka huu wataenda kushindwa vibaya kwenye uchaguzi.

Hivi unamjua katibu wa ukawa na unajua yuko wapi na anafanya nini. Ukijibu utajua hali yenu ikoje
 
Sindano ya mabadiliko ni chungu sana,ila inaponya polepole na maumivu sio mzaha.Sasa kuna dalili zote mgonjwa wetu ameanza kupona na atakubali kwamba UKAWA ndio dawa sahihi.
 
Nimeshangaa kumbe hata ccm nao wanataka mabadiliko, January Makamba anasema mabadiliko Magufuli!! Magufuli mabadiliko, sasa kama na yeye ambae yumo kwenye kamati ya kampeni amekubali mabadiliko yanahitajika, si ni wazi mwaka huu mabadiliko yatatokea yaliyotabiriwa!
 
Back
Top Bottom