jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 651
- 2,246
Wanakomoana au sheria sasa inafuata mkondo wake?
Hili ni jambo la kupongezwa na sio kubezwa
Umeelewa nilichoandika?Je yale mashtaka kadhaa juu yake kasingiziwa? Na kama kasingiziwa lete ushahid wako kua hana kosa juu ya hayo!
Hakuna cha visasi wala nini. Sheria inafuata mkondo. Dont spin mattersNisome unielewe
Mod unganisha. Umeona ukichangia kwenye ile thread inayohusu tukio hutasomeka?Hatmaye CCM wameanza kuumizana wao kwa wao "kiukweli-ukweli!"
Nasema kiukweli-ukweli kwa sababu kabla wana CCM walikuwa wakiumizana huku waki-fake kuumizana kwao kwa dhana ya "huyu ni mwenzetu."
Leo,kidume na kijana aliyelelewa ndani ya chama,kadhalilishwa bila kujali ukada wake.Inafikirisha!
Haikuwa rahisi hata kidogo kwa aiana ya mtu na kada wa kiwango chake huko nyuma kufikiwa hatua ya kufanywa vile alivyofanyiwa yeye leo! Kada,tena aliyepata kuwa kiongozi wa vijana,wilaya na mtu aliyelindwa kwa hali na mali eti leo anamwaga machozi ndani ya pingu?!
Si ubaya kuwajibishana kwa mapungufu na makosa katika eneo la kazi...
Si dhambi kufungwa kwa kiongozi aliyetumia madaraka yake vibaya....
...lkn hofu yangu kama hawa "wenzetu" wamefikia hatua ya kuwajibishana kwa kukomoana hakika laana ya kukomoana kwao itawatafuna na lazima kisasi ni rasmi kimezaliwa ndani ya CCM.
Lau,kama kuwajibishana huko kutakuwa ni kwa mujibu wa sheria za Nchi hakika nuru na dira ya kufikia hatua ya Viongozi wetu kutenda yale tu yawapasayo kwa mujibu wa sheria itaanza kumea.
JE,KISASI NDANI YA CCM KIMEANZA RASMI?!
Mungu ibariki Tanzania.
Halafu hii tabia kujidai kwamba watu hawaelew ulichoandika acha kbs hiki ni nn??Umeelewa nilichoandika?
Kama kufuata Katiba, Sheria, Kanuni na Taratibu ndio kisasi basi unahitaji kuhubiriwa injili ya sululu.Hatmaye CCM wameanza kuumizana wao kwa wao "kiukweli-ukweli!"