Huku maeneo ya Kimara ktk uchaguzi wa serikali za mitaa vyama vya Upinzani hasa Chadema wamepata ushindi wa kishindo. Tangu J3 Tar'15 huduma mhimu zimeanza kuadimika, umeme unakatwa karibu kila siku na maji hakuna kabisa.
Its hard to maintain people like you once we develop a basic understanding of the sociopathic personality and motives,it is easy to understand
Bila shaka ni mmoja wa waathirika wa haya mabadiliko ya fikra za watu hasa baada ya kukichoka chama chenu na kuamua kuwaadhibu kwa vitendo nyie wezi.
Wanajaribu kudhoofisha nguvu za umma. Hivi walishajaribu kujifikirisha ikiwa wanamageuzi wakiamua kujiservia maji yanayopita kimara kwenda masaki na msasani wanakoishi wanene wa ccm hali itakuwaje kwao?.
Wasiwasukume wananchi kufanya maamuzi yatakayowatia hasara wawape maji na umeme kama huduma muhimu na kwa wakati.
Nimtaarifu Nape na magembe wake juu ya mbinu za kizamani za kumdhoofisha jembe letu Mnyika kisiasa hazitofanikiwa katu.
Huku maeneo ya Kimara ktk uchaguzi wa serikali za mitaa vyama vya Upinzani hasa CHADEMA wamepata ushindi wa kishindo. Tangu J3 Tar'15 huduma mhimu zimeanza kuadimika, umeme unakatwa karibu kila siku na maji hakuna kabisa
Hata sisi huku Ilemela toka Jumatatu umeme ni wa mgao tunapata usiku tu. Ila wana haki ya kukata maana tumeyapiga maCCM kwa style ya kuua nyoka
Hata bado mtatia akili mwaka huu
Vumilieni miezi kumi tu imebaki tunawafanyia finishing.....
DELETE CCM!!!