CCM wame-sacrifice baadhi ya majimbo


Facts1

Facts1

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2009
Messages
308
Likes
5
Points
0
Facts1

Facts1

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2009
308 5 0
Nyeti nilizozipata toka kwa mtu wa jikoni ndani ya CCM ni kuwa kuna makubaliano kati ya CCM na baadhi ya vyama vya upinzani wa kupewa (favor) baadhi ya majimbo upande wa bara kwa lengo la kukidhoofisha Chadema kisionekane kimehodhi upinzani upande huo, kifupi kisionekane chama kikuu cha upinzani.

Makubaliano hayo ni pamoja na kutangazwa kwa chama cha chadema kuwa ni cha tatu wakati wote wa kipindi cha kupokea matokeo. Vyama hivyo kutokirushia CCM habari za kukichafua and vice versa badala yake kuelekeza mashambulizi yote kwa Chadema.

Lengo lingine la CCM ku-sacrifice baadhi ya majimbo bara ni kukiwezesha chama hicho kupata idadi kubwa ya wabunge kuweza kuunda serikali kivuli bila kushirikisha wabunge toka Chadema.

Makubaliano mengine ni pamoja na kusaidiana bungeni na kutopinga matokeo ya aina yeyote ya uchaguzi kuanzia yale ya Zanzibar na ya tanzania bara.

Upinzani (siyo chadema) kupewa nafasi moja ya naibu waziri kwenye serikali ijayo.

This is to say that Chadema was fighting two enemies.

Habari ndiyo hiyo hutaki unaacha.
 
M

Mapinduzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2008
Messages
2,427
Likes
23
Points
0
M

Mapinduzi

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2008
2,427 23 0
Ni lazima Chadema kiwe chama kikuu cha upinzani? Kwani chama chochote cha upinzani kikiwa ndio chama kikuu kuna tatizo gani?

Inaelekea Chadema mna uchu wa madaraka, si bure mnalazimisha ushindi. Mnatuwashia yellow lights wapiga kura.
 
K

Keil

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2007
Messages
2,214
Likes
7
Points
135
K

Keil

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2007
2,214 7 135
Naomba kuuliza:

Idadi ya Wabunge wa Viti Maalum inakuwa determined na idadi ya wabunge wa kuchaguliwa majimboni au kura alizopata mgombea urais? Or both?
 

Forum statistics

Threads 1,235,711
Members 474,712
Posts 29,231,455