Napendekeza michango yoyote ya kutoka CCM Chadema watangaze kutoitambua.
Napendekeza michango yoyote ya kutoka CCM Chadema watangaze kutoitambua.
Hulinganishi na enzi za KinanaHivi undugu wa Msigwa na Kayafa unageukaje kuwa jambo la ki-ikulu na kichama??
Nahisi pale #ikulu na #ccm kwa sasa hakuna watu smart...
Na hata dola nayo ishaanza kuwashtukia...!!
Kila nikiandika nafuta tu, nakosa neno sahihi la kuelezea. ila kwa ufupi
1. Naogopa sana kimya cha watanzania, hata wale wanaoimba mapambio kinafiki
2. Naiogopa sana US, wale jamaa si wa mchezo hata chembe.
Hulinganishi na enzi za Kinana
Mimi sijui pesa imetoka wapi,ila ninachojua ni kwamba CDM walikuwa wameshalipa kwa control namba halali,sasa hatujaona risiti ya JPM!
Wakati Kinana na Nape walienda kusikiliza kero za wananchi vijijini wakala wali maharage kwenye majamvi.Zero brained wananzengo wakamdhalilisha Mzee wa watu... Kwa sasa eti juhudi wamewekeza kwenye manunuzi ya wanachama wapya na nguvu za dola...
Aki ya nani opposition wakipunguza tofauti zao wakampata mgombea makini hakika patachimbika come October 2020!!
mimi najiuliza Hamphrey Polepole alienda gerezani kama nani?.Ume-analyze vyma sana mkuu
Hii nimeipenda!.Rais hatakiwi kuchangia, yeye anatakiwa asitumie mamlaka yake kuingilia uhuru wa mahakama. Hakuna mtu anapatikana kwa hizo kiki za kitoto boss. Inafahamika hiyo mahakama ilikuwa inaendesha hiyo kesi kwa msukumo wa nani. Sasa anayeshinikiza kesi na hukumu iweje, anapojaribu kujikosha kwa maji ya matope tunamuona mwendawazimu tu. Hivi huyo jamaa katuonaje? Hivi anaamini tumelala sana kiasi kua huo uhuni hatuwezi kuujua?
Umeandika vyema mtizamo wako kama alivyoandika mleta uzi unachokiamini wewe usilazimishe nami nikiamini!Nadhani sasa umeamini ccm chini ya jiwe haiwezi tena siasa za hoja wala ushawishi, ndio maana imeamua kutumia dola bila aibu. Hivi vituko wanavyofanya ccm leo ndio hiyo inatumika nguvu kubwa kutuaminisha kuwa ccm sasa hivi ni imara!
Huu utoto wa leo wa ccm toka kwa viongozi wa ccm, ndio huo tunaaminishwa kuwa ccm imeua upinzani! Je una shaka tena kuwa viongozi wa upinzani huwa wananunuliwa kwa ushauri wa mwenyekiti na genge lake? Ccm hii uliyoiona ikifanya utoto hapo gerezani, ndio hiyo iliyoendesha kikao cha maadili ya Makada wake wiki zilizopita.
Rais hatakiwi kuchangia, yeye anatakiwa asitumie mamlaka yake kuingilia uhuru wa mahakama. Hakuna mtu anapatikana kwa hizo kiki za kitoto boss. Inafahamika hiyo mahakama ilikuwa inaendesha hiyo kesi kwa msukumo wa nani. Sasa anayeshinikiza kesi na hukumu iweje, anapojaribu kujikosha kwa maji ya matope tunamuona mwendawazimu tu. Hivi huyo jamaa katuonaje? Hivi anaamini tumelala sana kiasi kua huo uhuni hatuwezi kuujua?
Mkuu mbona nakala ya malipo imo humu toka janaCHADEMA WEKENI WAZI (SAWA) HILI JAMBO.
PESA ILIYOMTOA MSIGWA NI YA RAIS AU MICHANGO YA WAPENDA HAKI?
CHADEMA KAMA MLIMLIPIA WEKENI JF NAKALA ZA BENKI ILI KUJENGA IMANI KWA WACHANGIAJI.
RAIS ANA UDUGU NA MSIGWA SAWA,
POLEPOLE NI NANI AENDE KUMLIPIA?
KIBATALA ALISHINDWA KUMALIZIA KAZI YA UTETEZI?
Tayari USA wamekwisha jua kuwa wananchi wengi hawana hamu na CCM tena, hivyo huo ni mwanya mzuri kwao kuingilia kati kwa kigezo cha kutetea wananchi ili human rights ziwe upheld.Kila nikiandika nafuta tu, nakosa neno sahihi la kuelezea. ila kwa ufupi
1. Naogopa sana kimya cha watanzania, hata wale wanaoimba mapambio kinafiki
2. Naiogopa sana US, wale jamaa si wa mchezo hata chembe.