CCM waliposhangilia kulamba matapishi yao

Kwa hiyo unataka kusemaje??
 
kiufupi wananchi mliwaeleza ila wakaona ccm ndicho chama ambacho bado kinastahili kuongoza nchi.

hayo mengine hakuna aliyeyakataa kuwa hayapo.
 
ccm ni chama ambacho kinajua kujisahihisha na kwenda na wakati...na kwa spidi ya magufuli kitaongoza miaka 30 mingine...
 
Wewe kijana umeandika kisomi sana ! Punda haendi bila mjeredi .
 
ccm ni chama ambacho kinajua kujisahihisha na kwenda na wakati...na kwa spidi ya magufuli kitaongoza miaka 30 mingine...
subiri uone sarakasi zinazokuja , ccm haitokuja kubadilika milele na milele .
 
Anachofanya rais Magufuli ni kutimiza ahadi zake alizotoa kwa wa wananchi wakati wa kampeni, wewe kinachokusumbua ni wivu wa kike tu hamna kingine.
 
Viva Ukawa Sera na kelele zenu zimeanza kufanyiwa kazi. Hakika matumizi ya kifahari yalikuwa kero ya taifa.
 
Hotuba ya magufuli ni mkusanyiko wa hotuba na michango ya kambi rasmi ya upinzani ya miaka 10iliyopitwa,hotuba na michango iliyopingwa vikali na wabunge wa ccm na rais kikwete.Kikwete anaambiwa waziwaz kuwa amefanya safari za nje nyingi kuliko hata kwenda kumsalimia mama yake kijijini,wabunge wa ccm walishangilia matapishi yao.
 
Mimi Nadhani Mtoa Mada Ungeitoa Ukawa Kama Ni Kambi Ya Upinzani,badala Yake Ukaifanya Ukawa Kama Kambi Ya Mawazo Mbadala,nahisi Hayo Uyesemayo Yasingekuwa Ya Kushangaza.....
 

Kuwa Mwana CCM ni LAANA KUBWA
 
Magufuli alitakiwa kuteuwa mawaziri kutoka ukawa maana yeye na Ukawa wana mawazo sawa.kila anachokipinga kilishabikiwa na ccm na kupingwa na Ukawa bungeni.

Ccm ni mfano wa mifupa ya marehemu isiyoweza kusikia wala kuelewa.
 

Umeongea kitu cha msingi sana,kwa mara ya kwanza nakuunga mkono!
 

Mambo yote mazuri yatafanyiwa kazi ili kuwanufaisha Watanzania WOTE na Mama Tanzania (kwa sauti ya Mh. Mbatia!)
 
Hapa kazi tu. MAJUNGU kwenye vijiwe vya kahawa mtaa wa Ufipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…