CCM waliposhangilia kulamba matapishi yao

Kushangilia ipo kwenye katiba ya CCM, binafsi siwashangai kwani wanafanya hivyo kwa mujibu wa katiba yao wenyewe.
Ccm OYEE...
 
Sio kusubiri tu action, lazima mshiriki kufanikisha azma ya serikali ya MaguFULI kufanikisha yote iliyokusudia na si kukwamisha na kukejeli km ilivyo kawaida ya upinzani

Mkuu jamaa wa UKAWA ni wabunifu na matendo Mambo anayolipuka nayo Magufuli watu waliyaona siku nyingi lkn nyie na watawala wenu kwakua Bongo zenu zimelala mlikuwa mnamsifia JK poleni sana UKAWA hamtawaweza siku zote watakuwa mbele kubuni vitu vyamaa vyakuinua NCH hii
 
Last edited by a moderator:
Aisee halijatimizwa hata moja unaanza kushangalia ahaaaa.....! Ungekuwa demu wanaume wangejinufaisha kwa kutoa ahadi nzuuri hahahahah......

Unajuaje Kama Siyo Demu Na Watu Wanamla Kwa Ahadi Nzuri Nzuri?
 
UKAWA wanahali ngumu mno, spidi ya Dr Magufuli imewapoteza kabisa, kwasasa hawajui wasimamie hoja ipi? ya ufisadi ishakuwa kaa la moto, basi wamekuwa ni watu wa matukio tu, sioni hata haja ya uchaguzi wa Raisi 2020

Soma alichoandika mleta mada. acha kukurupuka ji..nga wewe.
 
JK 2014:

"Nimesafiri nje ya nchi mara nyingi kwenda kutafuta wahisani wa maendeleo. Wapinzani wamezoea kuponda kuwa safari zangu hazina tija lakini muwapuuze maana hawana jema dhidi ya
serikali" .

Wabunge wa CCM: Makofi pwapwapwa..👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿

Magufuli 2015:
"Kuna kiongozi amesafiri kwenda nje ya nchi mara nyingi kuliko alivyoenda kijijini kwao
(Msoga) kuwasalimia wazazi wake"..

Wabunge wa CCM: Makofi pwapwapwa..👏🏿👏🏿👏🏿

HIVI UKIWA MBUNGE WA CCM LAZIMA UACHE AKILI ZAKO FERI?? 😂😂😂😂😂😂😂😂
 

Uko sahihi sana mkuu..big up kwa big tafakari!
 
Leo hii eti Membe naye anashangaa watu kupishana angani kama mwewe,kinyaa
 
Naiona "ukawa" ndani ya ccm

ningekuwa mwandishi mzuri ningeandika makala murua, yenye uchambuzi wa kina, juu ya hii heading, ngoja niache nyakati zitaongea tu.
 
Sio kusubiri tu action, lazima mshiriki kufanikisha azma ya serikali ya MaguFULI kufanikisha yote iliyokusudia na si kukwamisha na kukejeli km ilivyo kawaida ya upinzani

Kushiriki in mpaka pale jpm atakapowaangukia wapinzani, na kuwaomba wamsamehe kwa figisufigisu za uchaguzi, ili nao waridhie kushiriki, huo ndo uungwana, na ndo MSIngi wa kujenga umoja wa kitaifa, vinginevyo akijiona yeye mwamba anaweza kila kitu, na aparangane mwenyewe, akikwama huko mbele asilalamike, na zipo dalili za kukwama, kumbuka kauli mbiu yaccm ni ile ile, mtaisoma no
 
Last edited by a moderator:

Kwa hiyo ulitaka wasitekeleze hayo ili iweje....alokuja kajua umuhimu wake so hoja haipo hapo mpongeze tuu mkuu
 
UKAWA wanahali ngumu mno, spidi ya Dr Magufuli imewapoteza kabisa, kwasasa hawajui wasimamie hoja ipi? ya ufisadi ishakuwa kaa la moto, basi wamekuwa ni watu wa matukio tu, sioni hata haja ya uchaguzi wa Raisi 2020

What do you mean Kansigo? Bila kuwa na mawazo tofauti hakuna maendeleo ya kweli!
 
Naona akili yako na fikra zako bado zunajua upo kwenye kampeni unadeki barabara Lowassa apite.
 
Sasa hapa sijui nani ndio nyumbu!
 

Hao nyumbu wasikupe taabu kufikiri...Ccm ni Full nyumbu likijitupa moja mengine yote yanafuata, remember ule mtaala wa Mungai..?? A yr later yalikuwa yanamcheka..!! ccm ni janga.. Infact ni laana kwa nchi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…