Mhe. Luhaga Mpina anapendwa sana na wananchi wa Jimbo la Kisesa kule Wilaya ya Meatu. Alipotia nia ya kuomba uteuzi wa kuwa tena mgombea ubunge wa Jimbo la Kisesa CCM wakamkata jina.
Amejiunga na ACT - Wazalendo kama mgombea Urais. Mhe. Luhaga ameanza kuomba saini za udhamini kutoka mikoa mbalimbali. sijaamini macho yangu Mpina anapendwa. sana na wananchi.
Namtabiria Mhe. Mpina kuchukua uongozi wa nchi hii kwa jinsi wananchi wanavyompenda. Alipofika Chato na Katoro usipime ule umati uliojaa pale inaashiria kuwa huko mbeleni mambo ni mazuri kwa Mhe. Mpina.
Ataisumbua sana CCM. CCM mlifanya kosa kubwa kukata Jina la Mhe. Mpina. "Majuto ni mjukuu".