Ccm wakwamisha umeya wa chadema Kahama

Nyakageni

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
15,045
5,092
Kwa kweli CCM Arusha wamechakachua makusudi! Kwani na Kahama Shinyanga ni yale yale. CHADEMA wa kuchaguliwa madiwani 5, CUF 1, TLP 1, CCM 3 na mbunge 1 (Lembeli anayeishi Arusha, Kahama anafikia guest house). Cha ajabu Mkurugenzi wilaya anapanua mipaka ya mamlaka ya mji ili kuongeza na madiwani wa vijijini. Uchaguzi bado demokrasia inabakwa ili mapato ya migodi ya Buzwagi na Kakola iwe yao. Tunasubiri tuandamane kama Misri. Nawasilisha
 
Tatizo ni hao wa cuf na tlp pia ni vibaraka wa ccm.
Halafu kwenye kamati za bunge wanataka kushirikiana na CDM. Wanafki wakubwa hawa.
 
Inashangaza kuona Lembeli aliyeifilisi Tanapa ati leo anajipambanua kama mpinga ufisadi!!! Amewekeza Arusha kutokana na hela ya Tanapa, hawezi kutoka kule
 
TLP diwani ni lazima apigie CHADEMA kwani alinadiwa na Dr. Slaa na Zitto wakati wa kampeni. Akizuiwa atahamia CHADEMA. Na ni mpiganaji kweli
 
hv kwa nini hawataki kuachia madaraka? Afu wanasema ni wana demokrasia na wanakuza demokrasia shame on them
 
Wapiganaji wa chadema kumbe kuna halmashauri ya kuchukua ..? msilale kwani matauwawa bure........Lembeli alichakachua alishinda kwa kura 1..tofauti......kazi yake ni kunywa pombe baa ya jirani na seven UP Arusha ....na kudaaka vimwana...hana mpango na wananchi wa Kahama.
 
Wapiganaji wa chadema kumbe kuna halmashauri ya kuchukua ..? msilale kwani matauwawa bure........Lembeli alichakachua alishinda kwa kura 1..tofauti......kazi yake ni kunywa pombe baa ya jirani na seven UP Arusha ....na kudaaka vimwana...hana mpango na wananchi wa Kahama.

Masahihisho.

Lembeli alipata kura 27,614 dhidi ya kura 14,516 za mgombea wa Chadema, hayo mengine ni masuala yake binafsi na wananchi wa Kahama walioamua kumchagua awe mwakilishi wao kwa mara nyingine tena.
 
Great Thinkers mnakuwaje tena?
Hoja ni Kahama lakini ghafla imeamia Shinyanga. Najua Kahama ni sehemu (wilaya) ya Shinyanga lakini kuna wilaya au jimbo vilevile linaitwa Shinyanga. Mshindi wa ubunge alimshinda wa Chadema kwa kura moja ni wa shinyanga Manispaa. Nashukuru walioturudisha kwenye hoja. tuendeleze hoja!!
 
Hayo wanafanyayo CCM yamefia mwisho. Wamedanganya watu kwa miaka mingi mno. CCM is doomed to go in the next decade. They are source of our stagnation. Kahama has huge potential in terms of resources, people and strategic location. Leadership malaise is retarding the area from registering faster economic development.
 
Back
Top Bottom