Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,253
- 44,591
Sasahivi Polisi wamesanda.Kama pamoja na nguvu kubwa inayotumika kuwatisha wananchi bado wananchi wanatoka kila kukicha maana yake ni kuwa risasi hazijawavunja mioyo.
Nakumbuka maneno ya mwandamanaji mmoja miaka ile kule Morogoro..
"Polisi wanajifunza kuua na sisi tunajifunza kufa". Watanzania sasa wamehitimu.
Hawawezi kutawaliwa tena kibabe...hawawezi kufanyiwa kibabe...kuendelea kuchelewa ni kuendelea kuongeza gharama ya ujenzi mpya wa Taifa. Kwa kadiri siku zinavyoenda ndivyo mamilioni ya Watanzania wanazidi kuungana na watoto wao.
Wito wangu naurudia. POLISI wekeni silaha chini, Tume ya Uchaguzi isilazimishe kumrudisha Samia (atawatawala maiti sasa na atawatazamaje tena Watanzania) na Jeshi lisipuuzie sauti za hiki kizazi.
Historia inaandikwa na viongozi wote wajue na kuchagua wanataka waandikwe upande upi wa historia.
Kama pamoja na nguvu kubwa inayotumika kuwatisha wananchi bado wananchi wanatoka kila kukicha maana yake ni kuwa risasi hazijawavunja mioyo.

Na sasa huyu mama anakipata alicho kitaka...huo usingizi ataupata wapi... kwa sasa yeye anaishi kama mfungwa zaidi ya wale alio wafunga kwa kesi za magumashi.... kwa hivyo ngoma droo... muda si mrefu na yeye watamnyonga kama anavyotaka kuwanyonga wenzake... maneno huumba kwa kweli ... unacho mtakia nwenzanko ndicho kinacho kurudia kwa style nyingine.....Tundu Lissu alimshauri Mama Samia asogeze uchaguzi mbele, na afanye mabadiliko yatakayoiweka nchi pamoja hakumsikiliza.
Kama pamoja na nguvu kubwa inayotumika kuwatisha wananchi bado wananchi wanatoka kila kukicha maana yake ni kuwa risasi hazijawavunja mioyo.
Nakumbuka maneno ya mwandamanaji mmoja miaka ile kule Morogoro..
"Polisi wanajifunza kuua na sisi tunajifunza kufa". Watanzania sasa wamehitimu.
Hawawezi kutawaliwa tena kibabe...hawawezi kufanyiwa kibabe...kuendelea kuchelewa ni kuendelea kuongeza gharama ya ujenzi mpya wa Taifa. Kwa kadiri siku zinavyoenda ndivyo mamilioni ya Watanzania wanazidi kuungana na watoto wao.
Wito wangu naurudia. POLISI wekeni silaha chini, Tume ya Uchaguzi isilazimishe kumrudisha Samia (atawatawala maiti sasa na atawatazamaje tena Watanzania) na Jeshi lisipuuzie sauti za hiki kizazi.
Historia inaandikwa na viongozi wote wajue na kuchagua wanataka waandikwe upande upi wa historia.
Naam mjuvi wa katiba niko hapa. Ni ibara ya 17 mkwaju A point 10.Kuna online TV ya Kenya kuna mtu anadai kuwa Katiba yetu inasema kama hakuna utulivu baada ya siku tatu Jeshi linatakiwa kuchukua madaraka. Wajuaji wa Katiba tufafanulieni hapa kama ni kweli? cc. Pascal Mayalla
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama pamoja na nguvu kubwa inayotumika kuwatisha wananchi bado wananchi wanatoka kila kukicha maana yake ni kuwa risasi hazijawavunja mioyo.
Nakumbuka maneno ya mwandamanaji mmoja miaka ile kule Morogoro..
"Polisi wanajifunza kuua na sisi tunajifunza kufa". Watanzania sasa wamehitimu.
Hawawezi kutawaliwa tena kibabe...hawawezi kufanyiwa kibabe...kuendelea kuchelewa ni kuendelea kuongeza gharama ya ujenzi mpya wa Taifa. Kwa kadiri siku zinavyoenda ndivyo mamilioni ya Watanzania wanazidi kuungana na watoto wao.
Wito wangu naurudia. POLISI wekeni silaha chini, Tume ya Uchaguzi isilazimishe kumrudisha Samia (atawatawala maiti sasa na atawatazamaje tena Watanzania) na Jeshi lisipuuzie sauti za hiki kizazi.
Historia inaandikwa na viongozi wote wajue na kuchagua wanataka waandikwe upande upi wa historia.
Hivi kuna mtu anaweza kufikiria yaani mambo yamaweza kuzimika tu na kila mtu anarudi nyumbani tu...

Majuto ni mjukuu...aliyetoa hii methali hakukosea kwa kweli.....Mama angetekeleza 4R tusingefika hapa.
..Mama angesikiliza rai ya TL na Chadema kuahirisha uchaguzi na kurekebisha mifumo tungeepuka vurugu hizi.
Inawezekana japo yafaa kuambatana na maamuzi mazitoHivi kuna mtu anaweza kufikiria yaani mambo yamaweza kuzimika tu na kila mtu anarudi nyumbani tu...
Maadam Tume imeisha mtangaza, akiisha apishwa kukalinda kale kakitabu tuu, ni rais wa JMT, no one can do anything, except YEYE!.Wito wangu naurudia. Tume ya Uchaguzi isilazimishe kumrudisha Samia,
Historia inaandikwa na viongozi wote wajue na kuchagua wanataka waandikwe upande upi wa historia.
Dogo The Icebreaker unacheka eeehMaadam Tume imeisha mtangaza, akiisha apishwa kukalinda kale kakitabu tuu, ni rais wa JMT, no one can do anything, except YEYE!.
Hivyo sasa atatawala kwa mkono wa chuma!.
Hivyo hakutakuwa nywinyi, wala nywinywini!.
P