muhosni JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 1,108 Reaction score 154 May 14, 2011 Thread starter #61 TV zinawabeba magamba waziwazi lakini hawajapata mafanikio. Zaidi tv zinatuwezesha kuona jinsi magamba yalivyofulia. Ziendelee tu kuwabeba
TV zinawabeba magamba waziwazi lakini hawajapata mafanikio. Zaidi tv zinatuwezesha kuona jinsi magamba yalivyofulia. Ziendelee tu kuwabeba
V vickitah Senior Member Joined Jun 18, 2010 Posts 152 Reaction score 8 May 14, 2011 #62 CCM is Half past dead'
muhosni JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 1,108 Reaction score 154 May 14, 2011 Thread starter #63 Seriously, ccm itafika 2015?
VeronicaAmadu JF-Expert Member Joined May 4, 2011 Posts 310 Reaction score 380 May 14, 2011 #64 Matola said: Hakucheza sebene hili kwanza kuvuta watu? View attachment 29931 Click to expand... Wanatoa burudani wenyewe sasa! This is embarrarasing.
Matola said: Hakucheza sebene hili kwanza kuvuta watu? View attachment 29931 Click to expand... Wanatoa burudani wenyewe sasa! This is embarrarasing.
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,242 May 14, 2011 #65 maskini,ila ngoja wajifunze waanze kuchapa kazi na sio kubabaisha tu
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,242 May 14, 2011 #66 Sugu moto chinii
N niweze JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 1,008 Reaction score 118 May 15, 2011 #67 Watanunua wananchi hata kucheza uchi na kutumia waganga wa kienyeji ili wananchi waje kuwaona wakiongea utumbo na pumba. Blaa tupu hiki chama...
Watanunua wananchi hata kucheza uchi na kutumia waganga wa kienyeji ili wananchi waje kuwaona wakiongea utumbo na pumba. Blaa tupu hiki chama...
Arafat JF-Expert Member Joined Nov 17, 2009 Posts 2,581 Reaction score 763 May 15, 2011 #68 Mwanakili90 said: hata waliokua wamevaa tshit zao walikua na sura za majonzi na simanzi. Click to expand... Simanzi!?
Mwanakili90 said: hata waliokua wamevaa tshit zao walikua na sura za majonzi na simanzi. Click to expand... Simanzi!?
O Omr JF-Expert Member Joined Nov 18, 2008 Posts 1,160 Reaction score 100 May 15, 2011 #69 Speaker said: Sugu moto chinii Click to expand... Hao wote walijua ni shoo ya bongo flava ndio maana walijazana hapo.
Speaker said: Sugu moto chinii Click to expand... Hao wote walijua ni shoo ya bongo flava ndio maana walijazana hapo.
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,258 Reaction score 13,265 May 15, 2011 #70 Aaah Magamba wamenicha hoi kabisa,wamekuja na staili ya kukata mayenu?Chama Cha Mayenu hooiiiiiiiii kabisa.
Aaah Magamba wamenicha hoi kabisa,wamekuja na staili ya kukata mayenu?Chama Cha Mayenu hooiiiiiiiii kabisa.
Salanga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 364 Reaction score 45 May 15, 2011 #71 Hongereni wananchi wa Singida kwa kugundua maslahi ya umma Nyumbani ni nyumbani ,nitarudi kuungana nanyi
Hongereni wananchi wa Singida kwa kugundua maslahi ya umma Nyumbani ni nyumbani ,nitarudi kuungana nanyi
muhosni JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 1,108 Reaction score 154 May 15, 2011 Thread starter #72 Omr said: Hao wote walijua ni shoo ya bongo flava ndio maana walijazana hapo. Click to expand... Umethibitisha ccm ilivyopitwa na wakati. Ni kweli wamefuata bongo flava kwa sababu Chadema wanajua wananchi hasa wa mikoani hawapendi tena kwaya na taarabu za kapteni Komba. Chadema speaks the language of the people, not language of Magamba
Omr said: Hao wote walijua ni shoo ya bongo flava ndio maana walijazana hapo. Click to expand... Umethibitisha ccm ilivyopitwa na wakati. Ni kweli wamefuata bongo flava kwa sababu Chadema wanajua wananchi hasa wa mikoani hawapendi tena kwaya na taarabu za kapteni Komba. Chadema speaks the language of the people, not language of Magamba
L lyimoc Senior Member Joined Feb 20, 2011 Posts 140 Reaction score 10 May 15, 2011 #73 bado itafika mahali watahutubia mawe na visiki magamba siku si nyingi mtalazwa kwenye nyumba ya milele
bado itafika mahali watahutubia mawe na visiki magamba siku si nyingi mtalazwa kwenye nyumba ya milele
Khakha JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 2,981 Reaction score 1,013 May 15, 2011 #74 Zile buku mbili mbili za kuhonga watu waje mikutanoni kipindi cha kampeni zimeisha wakuu. Sasa tuaona uhalisia.
Zile buku mbili mbili za kuhonga watu waje mikutanoni kipindi cha kampeni zimeisha wakuu. Sasa tuaona uhalisia.
hKichaka Senior Member Joined Apr 23, 2011 Posts 199 Reaction score 19 May 15, 2011 #75 mimi sisemi kitu,matokeo mwaka 2015 yatasema
Maarko JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 1,196 Reaction score 609 May 15, 2011 #76 Wamekwisha hao,hawana jipya!.
M matongo manawa JF-Expert Member Joined Apr 6, 2011 Posts 336 Reaction score 79 May 15, 2011 #77 Omr said: Hao wote walijua ni shoo ya bongo flava ndio maana walijazana hapo. Click to expand... mbona ninyi na toti yenu,marlaw watu hawawashobokei?
Omr said: Hao wote walijua ni shoo ya bongo flava ndio maana walijazana hapo. Click to expand... mbona ninyi na toti yenu,marlaw watu hawawashobokei?