CCM;wakishinda KALENGA najinyonga.

CCM;wakishinda KALENGA najinyonga.

We andaa mazishi na uanze kugawa urithi
au unatafuta sababu ya kufa
 
Kwa namna kampeni zinavokwenda... upepo unaelekea cdm kuwa washindi pamoja na kuwa mizengwe na visa vinafanyika dhidi ya cdm...

Naapa cdm ni washindi KALENGA.

Nadhani usiseme CCM wakishinda Kalenga unajinyonga bali useme CCM wakishinda kihalali Kalenga utajinyonga.
 
Kopa kamba ya kujinyongea kwa Mangi, mimi nitakulipia
 
Chadema nimpango wamungu, Tumeanza na Mungu, tupo na Mungu natutamaliza na Mungu
 
mkuu mbushi tupe mwamko wa wananchi na elimu ya uraia kamanda lema na msigwa wanayotoa katika operesheni hiyo ya kata govi
 
npo tayar kufa kenge wew

Nashukuru kwa kuwa nimekuwa kenge mwenye kustahili kujibiwa na wewe. Kumbe wewe unao uwezo hata wa kujibizana na kenge? hongera sana. Naona wewe siyo mwanadamu wa kawaida kwani unaweza hata kuwasiliana na wanyama kama kina sisi huku.
 
Kwa namna kampeni zinavokwenda... upepo unaelekea cdm kuwa washindi pamoja na kuwa mizengwe na visa vinafanyika dhidi ya cdm...

Naapa cdm ni washindi KALENGA.

Usipojinyonga tutakutafuta tukunyonge, bahati nzuri tunakufahamu pamoja na anonymity ya JF
 
Back
Top Bottom