Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,076
- 136,502
I am speechless!!
Last edited by a moderator:
Mkuu ulitaka wafanyaje?
I am speechless!!
Uchaguzi fake kwa ushindi fake maana safari hii watanzania hawajatuangusha wamedeliver kwa upinzani na CCM hawajashinda uchaguzi mshindi ni UKAWA
Cha kufanya wanajua wao na ni juu yao.
Nami jibutiko langu ni juu yangu.
Hapana mkuu ni lazima tuanze kuwaambia watu kuwa siasa sio ushabiki wa mpira.
Kwani nani ametangazwa mshindi?